Usaili wa kujiunga na jeshi la polisi 2013

Usaili wa kujiunga na jeshi la polisi 2013

Malengo Jr

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2013
Posts
287
Reaction score
99
Jeshi la polisi nchini limetoa orodha ya vijana wa kidato cha 4 wa mwaka 2012 na wale wa kidato cha 6 wa mwaka 2013 walioitwa kwenye usaili wa kujiunga na jeshi hilo. Vijana hao ni miongoni mwa wale waliojaza selform kabla ya kuhitimu masomo yao. Kujua kama wewe ni miongoni mwa walioitwa kwenye usaili, tafadhali tembelea website ya jeshi hilo ambayo ni; www.policeforce.go.tz
 
Haya kila la kheri mlochaguliwa,nendeni mkawe waadilifu hatutaki ubabaishaji..
 
hivi ni atua zipi kuaply JWTZ?,maana mwakani nataka kujiunga nina taaluma ya h.laboratory!nijulisheni please!
 
wakuu hebu niangalizieni Steven Muhando maana simu haina uwezo wa kufungua please

thanks....
 
Nimetembelea hiyo website ila mimi kwenye simu haionyeshi,kwani hakuna uwezekano wa kuyapata majina?

kijana majina yako mengi sana form 4 kama 3653 na form 6 kama 621 kama nikiyaweka yata chokua kurasa nyingi na itakuwa ngumu kuyasoma, oveer
 
wakuu vp!,kuna pia tulio omba hizo nafas kwa kujaza form ya walio hitimu chuo!


Wale wenye digree mtaitwa kwenye usaili makao makuu ya jeshi DSM. Kwasasa bado hawajatoa orodha ya walioitwa kwa wenye digree, 2kipata taarifa 2tafahamishana.
 
je kwa wale wa elimu ya juu diplom na degree lini tunaitwa kwenye usaili wakubwa!
 
Back
Top Bottom