dawizzie
New Member
- Aug 16, 2017
- 3
- 1
Za kuamka waungwana, naomba kuuliza juu ya application kwenye vyuo vya afya. Nina mdogo wangu kaapply st. Francis certificate ya pharmacy lakini mpaka Sasa hawajatoa majibu na ukiwapigia hawatoi majibu ya kueleweka wanadai serikali imewaambia wasitishe udahili ambapo muda wa kusoma unakaribia so naomba mwenye kujua vyuo vinavyodahili kwa Sasa hivi upande wa afya tusaidiane madogo wakasome.