Usaili Us Embasy!!

Mangungu

JF-Expert Member
Joined
Apr 22, 2012
Posts
2,404
Reaction score
3,061
Salama humu jamvini??
Nimepokea simu jana,kutoka Us Embasy,wakinialika kwenda kwenye usaili wa nafasi ya kazi ya Commercial specialist!

Lakini walisema ninaenda kufanya English test,wadau naombeni mwenye kufahamu walau hii English test yao hua inakuaje!!

Asanteni sana! Karibuni
 
jiandae na english test ya ikijjumuisha reading skills, listening skills na vocabulary,
 
jiandae na english test ya ikijjumuisha reading skills, listening skills na vocabulary,

Shukurani sana mkuu,listening English unapewa radio usikilize zen unajibu maswali??
 
Hivi ile ya IT tuliofanya 2 weeks ago...kuna mtu ameitwa?
 
English test kama ya shule tu....kawaida
 
Tumetoka kupiga usaili wao! Maswali yalikua 80,yakuchagua, part 1 ilikua listening maswali 25,part 2 grammar and vocabulary maswali 45, Part 3 leading maswali 10!!
 
24 people zimekuja kupiga usaili! Nafasi moja! Ingawa wameniambia wenzangu tumeitwa watu wa post tofauti,tofauti!!
 
mwenye kujua website ya ubalozi wa marekani hapa tz tafadhali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…