Usaili United Nations unachukua muda gani

Usaili United Nations unachukua muda gani

Maryjuan

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2022
Posts
685
Reaction score
2,086
Msaada kwa anaejua, au mwenye experience na hili.

Nliapply kazi UN tangu mwezi wa tatu. Status yangu ikaja badilika mwezi wa tano na kuandikiwa under consideration, ndiyo imekaa hivyo mpaka leo, na sijawahi itwa usahili.

Hii imekaaje wadau?
 
Kuwa na subra shekhe....huwa wanachukua muda ...haswa kwenye kuthibitisha vyeti na kufanya vetting ya kutosha
 
Kuwa na subra shekhe....huwa wanachukua muda ...haswa kwenye kuthibitisha vyeti na kufanya vetting ya kutosha
Hamna mtu wa kukufanyia vetting kabla ya interview, UN hawana muda wa kupoteza kama utumishi. Kimsingi ameshaliwa kichwa, usimpe moyo
 
Back
Top Bottom