mkulima gwakikolo
JF-Expert Member
- Nov 22, 2014
- 1,767
- 2,858
Kwa idadi ya job seekerz ilivokua ,kwa nchi za wenzetu wangeamka palepale kuisulubu serkari ili ilete majibu ya tatzo la ajira nchini, sasa wasomi wetu hawajitambui .sjui nani ataikomboa nchi hii.
Tayari tumeshamaliza kusahisha mitihani, ila kuna vijana walikua wa muhimu sana na bahati mbaya wamepata below average, hvyo tunajaribu namna ya kuwasaidia wajumuike nanyi kwenye oral interview! Muwe na uvumilivu tafathali!
Wamekuja tumaini now
Wamekuja tumaini now
Wamekuja kubandika matokeo au kufanya nini mkuu.
kwani bado mpo hapo dj till this time. Tujuze plz
Mkuu mimi nmetoka mda kidogo ila nadhani kuna wadau watakupa.update maana wamebandika majinaJamani tuangalizieni na sisi sasa saa tano hii wanabandika tuoneje
Mkuu mimi nmetoka mda kidogo ila nadhani kuna wadau watakupa.update maana wamebandika majina