smigoo
Member
- May 8, 2015
- 31
- 5
Jamani kunani usaili TFDA mbona hamna mrejesho wadau naomba tuambizane
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Duuh wewe upo wapi watu washaitwa kazini hebu cheki website ya utumishi utaona walioitwa kazini.Ndugu zanguni tfda wsmefika wap
Ndugu zanguni tfda wsmefika wap
Jamani kunani usaili TFDA mbona hamna mrejesho wadau naomba tuambizane
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha kudandia mada za wezenu anzisha yakoNina Ndugu ANGU anaitaji cheti cha tfda sasa sijajua nitawapata WAP Ndugu zanguni.