Usaili TFDA kumekucha

MTOTO YATIMA

Senior Member
Jul 1, 2012
147
58
Katibu wa Ofisi ya Rais, Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya Mamlaka ya Chakula na Dawa Tanzania (TFDA), anapenda kuwataarifu waombaji kazi wote walioomba kazi za Mamlaka hiyo kuwa usaili unatarajiwa kuendeshwa kuanzia tarehe 24-26 Julai, 2017 na hatimaye kuwapangia vituo vya kazi, waombaji kazi watakaofaulu.
Orodha ya waombaji kazi wanaoitwa kwenye usaili inapatikana kwenye tovuti ya Sekretarieti ya Ajira www.ajira.go.tz
 
Back
Top Bottom