Usaili mchujo utumishi

ladyhustler

Member
May 12, 2014
7
5
Wadau naomba mtu anayefahamu kuhusu usaili mchujo utumishi post supplies officer,nasikia ni written,huwa wanatoa maswali ya aina gani hasa,pls jmn!
 
wanaosaili ni utumishi au tume ya ajira? hata hivyo maswali mengi huwa wanauliza yale mliyofundishwa hivyo tumia muda mwingi kupitia notice zako za chuo na pia kama kuna wenzio mnaweza kufanya discussion kama vile mnaingia kwenye paper ya chuo
 
Ok asante kwa ushauri ndugu.
 
Back
Top Bottom