Usaili(interview) wa NEC mikoani mbona kuko kimya sana?

Usaili(interview) wa NEC mikoani mbona kuko kimya sana?

Akilitime

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2017
Posts
581
Reaction score
763
Wasalaam wakuu!

Kwa waliotuma maombi ya kusimamia zoezi la kupiga kura nje ya mkoa wa Dar es Salaam.

Mbona hakuna updates zozote za kuitwa kwenye usaili, au inafanyika chini kwa chini?

Tujuzane mlioomba wilaya tofauti tofauti.
 
Nyamagana wao vip?
Kuhusu nyamagana sijui,Ila Kuna mdogo wangu mmoja amehitimu chuo mwaka huu course ya IT, alituma maombi Geita, leo asubuhi ameenda kwaajili ya usahili.
 
Wasalaam wakuu!

Kwa waliotuma maombi ya kusimamia zoezi la kupiga kura nje ya mkoa wa Dar es Salaam.

Mbona hakuna updates zozote za kuitwa kwenye usaili, au inafanyika chini kwa chini?

Tujuzane mlioomba wilaya tofauti tofauti.
Nyinyi SI ndo hamtak maendeleo ya vitu?
 
Tarime vijiji tayari mbona
IMG-20201006-WA0012.jpg
 
Njaa zitawaua, laki kasoro ndo inawatoa kamasi namna hii!!
 
Back
Top Bottom