Usaili EWURA & TRA?

Ngowi Junior

Senior Member
Joined
Aug 4, 2014
Posts
102
Reaction score
38
Habari Ba'ndugu,

Viipi kuna aliye sikia chochote kuhusu usaili wa hizo Taasisi mbili za serikali kwa kazi zilizotangazwa miezi michache iliyopita EWURA deadline ilikua 21/08, ila TRA nafikiri ilikua mwezi wa 5 hv. Daah mtaa unaumiza mbaya, tujuzane ata kwa mwenye info zozote. 😕
 
TRA, EWURA, SUMATRA, TBS, huwa ukituma maombi unatakiwa usahau, inaweza kufika hata mwaka, Mfano mdogo wangu amefanya intvw ya Sumatra pale diamond jubilee mpk leo wapo kimya tuu.
 
Unaumia mtaani sababu umeamua kuwa LAZIMA ukaajiriwe!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…