Usaili DUCE 28 Dec 2015

bukoba04

JF-Expert Member
Dec 26, 2014
1,401
1,287
Wadau hawa jamaa wa Duce waliaidi kuwapigia watu simu, kwa wale watakaofanikiwa kufaulu kuendelea na hatua ya oral..

Swali je, kuna aliyeitwa humu ndani, ili tuendelee kuwaza mambo mengine!?
 
Mimi sijapigiwa pia mkuu...ila nilifanya ule usahili wao....walio pigiwa watatujuza
 
Mimi pia nilifanya. Sikupigiwa hadi leo. Nadhani ambao hatukupigiwa tulikosa
 
Wadau hawa jamaa wa Duce waliaidi kuwapigia watu simu, kwa wale watakaofanikiwa kufaulu kuendelea na hatua ya oral..

Swali je, kuna aliyeitwa humu ndani, ili tuendelee kuwaza mambo mengine!?
Mkuu #bukoba04 watu walipigiwa simu siku ile ile jioni kwa ajili ya oral.Taarifa hizi ni kutoka chanzo sahihi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom