habar zenu wana-jf?mm ni kat ya walioitwa kwa interview muhas kwenye kada fulan,ila kuna m2 amenkatsha tamaa sana kwa kuniambia 2naenda kuuza sura wkt nafas zina watu tayar,akanipa mfano ktk kada za administrative officer jina namba tisa(ctaltaja labda mwenye kupenda akaptie)akasema unadhan jina la mtu huyu atakosa nafas?kwakwel baada ya kuchek jina nlipoteza matumaini nikakumbuka yalee ya uhamiaji,ila namwomba mungu atuokoe vjana wa tz ktk janga hili la ajira jmn vjana 2nateseka,yah kuna njia mbadala ya kujiajiri but swali linakuja kivipi?kwani weng tumetoka familia duni najiulza mtaji wa kuanzisha biashara napata wap?ndg kutokana na elimu duni anajua una degree lzma utakua na hela tu,hpa maisha yanazd kuwa magumu kwan wanashndwa hta kukusaidia,my point is mashirika yanayotoa nafas za kaz yatende hak ktk kuajiri kulkon kuwasumbua vjana kuhudhuria usaili hewa kumbe wanakua wana majna ya waajiriwa tayari,mungu awatangulie wote naamini cku moja atatenda kwa wote@