Usahili Muhimbili taasisi ya mifupa MOI

Usahili Muhimbili taasisi ya mifupa MOI

The Don Ezbn

Member
Joined
May 12, 2015
Posts
19
Reaction score
1
Jamani hakuna mwenye taarifa kuhusu kuitwa kwenye usahili wa kada tofauti Muhimbili taasisi ya mifupa MOI.
 
wameanza kuita bt nimeona kama vitengo vitano tembelea tovut ya www.muhas
lkn Accounts bado na interview nimeona ni written
law school na.Universal vp
 
wameanza kuita bt nimeona kama vitengo vitano tembelea tovut ya www.muhas
lkn Accounts bado na interview nimeona ni written
law school na.Universal vp
Mkuu mbona kama hakuna mahusiano ya moja kwa moja kati ya MOI na MUHAS, though taasisi zote zipo chini ya Min of Health, any way tusubiri wenye weredi zaidi kunifahamisha kama zile nafasi za MOI ndizo walizoita muhas.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom