Tundu lissu anaisomea dunia Kitabu mlichokiandika wenyewe CCM na serikali yake.watu wenye hekima wanaangalia miaka 20-100 ijayo , kauli za Tundu Lissu zitaleta matokeo gani kwenye uchumi na maendeleo yetu. jibu ni kwamba athari zitakuwa kubwa sana hivyo ni vema Tundu Lissu akajibiwa kwa sababu naye anatumia uongo kusema kile anachodhani ni kweli.
Kupigwa risasi maeneo ya bunge ndo kutakuza uchumi? Yuko huko aliko kwa sababu ya waliomsababishia.Tatizo ni waliofanya kitendo hicho sio Lissu.watu wenye hekima wanaangalia miaka 20-100 ijayo , kauli za Tundu Lissu zitaleta matokeo gani kwenye uchumi na maendeleo yetu. jibu ni kwamba athari zitakuwa kubwa sana hivyo ni vema Tundu Lissu akajibiwa kwa sababu naye anatumia uongo kusema kile anachodhani ni kweli.
Walopanga kumuua ndo hawakuona mbali,, sasa ndo wanavuna aibu. Mwache Lisu aieleze dunia! Tz tulipigwa kwa kosa LA kumwombea Lisu kudadaadeki!watu wenye hekima wanaangalia miaka 20-100 ijayo , kauli za Tundu Lissu zitaleta matokeo gani kwenye uchumi na maendeleo yetu. jibu ni kwamba athari zitakuwa kubwa sana hivyo ni vema Tundu Lissu akajibiwa kwa sababu naye anatumia uongo kusema kile anachodhani ni kweli.
Kuna majanga zaidi ya haya mliyosababisha tangu uhuru? Kama ni majanga na yaje hatuna cha kupoteza.watu wenye hekima wanaangalia miaka 20-100 ijayo , kauli za Tundu Lissu zitaleta matokeo gani kwenye uchumi na maendeleo yetu. jibu ni kwamba athari zitakuwa kubwa sana hivyo ni vema Tundu Lissu akajibiwa kwa sababu naye anatumia uongo kusema kile anachodhani ni kweli.
Donor country tutaathirika na nini na maneno ya Lissu.watu wenye hekima wanaangalia miaka 20-100 ijayo , kauli za Tundu Lissu zitaleta matokeo gani kwenye uchumi na maendeleo yetu. jibu ni kwamba athari zitakuwa kubwa sana hivyo ni vema Tundu Lissu akajibiwa kwa sababu naye anatumia uongo kusema kile anachodhani ni kweli.
Kwa kuwa wanajua wanachama wengi ni mazwazwa wasiojua nini kinaendelea, anaamini kabisa anachokisema yeye Bashiri ndio watu watakiamini. Kama vipi Dr. Bashiru nae akaombe interview kule DW au BBC na kuweka mambo sawa. Lissu kwenye interview zake hakutupia lawama zake moja kwa moja kwa vyombo vya usalama. Hivi walitegemea Lissu aende BBC kusifia ujenzi wa Fly over au vita ya Bashite ya kupambana na mapunga kupita vyombo vya habari? sio kazi yake hiyoMadai yao (Dr Bashiru Ally katibu mkuu wa CCM) kwamba ziara za Lissu zinaiaibisha nchi na vyombo vya usalama..
watu wenye hekima wanaangalia miaka 20-100 ijayo , kauli za Tundu Lissu zitaleta matokeo gani kwenye uchumi na maendeleo yetu. jibu ni kwamba athari zitakuwa kubwa sana hivyo ni vema Tundu Lissu akajibiwa kwa sababu naye anatumia uongo kusema kile anachodhani ni kweli.
weng tumesmikisa ndugu Dr Bashiru Ally katibu mkuu wa CCM akihutubia kwa hasira na hisia kali sana juu ya kile anachodai ni kudhalilisha nchi kimataifa kwa ziara anazo fanya Tundu Lissu.
Itakumbukwa Mh Tundu Lissu alifanyiwa kitendo cha kinyama cha kushambuliwa kwa siraha za moto sept 7,2017 mjin dodom ambapo aliumizwa vibaya baada ya kukoswakoswa kufa.
Baada ya Lissu kuchukua hatua za kuiambia dunia na watanzania kwa ujumla kile kilichotokea na kutoa shukrani kwa jamii ya kitaifa na kimataifa iliyosaidi kwa hali na mali matibabu yake, sasa kumezuka uongo na unafiki wa kujitapa kwa wanasisasa uchwara kuitetea nchi.
madai yao ni kwamba ziara za Lissu zinaiaibisha nchi na vyombo vya usalama. Ukweli ni kwamba inaaibika CCM na washirika wake. TunakuTAKA bahiru Ali na washirika wako muache kuchanganya mambo, aibu ya kipigo cha Lissu na watanzania wengine waliopoteza maisha kwa mazingira hayo hayo ya kisiasa.
Taifa halikupat aibu wakati wa kushindwa kutambua wahusika wa mauaji lije kupata aibu kwa kusema waliompiga lisu hawajapatiokana??
Dr Bashiru Ali kwa nini unataka aibu ya ccm na washirika wake iwe aibu ya watanzania? Nikuhakikishie tu kama ulikuwa huna habari ziara za Lissu Ulaya na Marekani tumezipenda mno na tunamshukuru Tundu Lissu kwa kutusemea, Roma Mkatoliki alifanyiwa unyama yaliyotokea na kufuatia pale alipotaka kuujulisha umma tuliyaona. 'MO' alipotekwa na wahuni ambao mpaka leo hawajajulikana tuliona kilichofata pale alipotaka kuujulisha umma.
Aibu yenu isiwe ya taifa, wekeni mambo yenu sawa. Nchi hii imekuwa huru kwa miaka 50 sasa haijafanya lolote la maana mikononi mwa CCM. your failures, is yours, dont donate it to tanzanians.
Mimi nawaza sana kuhusu hiki kinachoendelea tangu jana hasa leo. CCM kwenye kuadhimisha miaka 42 ya kuzaliwa chama chao wameamua kutumia muda mwingi kupotosha na kuamisha Umma kuwa adui namba moja wa hii nchi ni Tundu Lissu. Badala wajikite kuelezea mafanikio ya viwanda na namna walivyoweza kutatua kero kubwa ya umasikini wa watanzania wao wamekomaa na Lissu tu. Ngoja tuone labda wakifanya hivyo viwanda vitainuka kama uyoga.Kwa kuwa wanajua wanachama wengi ni mazwazwa wasiojua nini kinaendelea, anaamini kabisa anachokisema yeye Bashiri ndio watu watakiamini. Kama vipi Dr. Bashiru nae akaombe interview kule DW au BBC na kuweka mambo sawa. Lissu kwenye interview zake hakutupia lawama zake moja kwa moja kwa vyombo vya usalama. Hivi walitegemea Lissu aende BBC kusifia ujenzi wa Fly over au vita ya Bashite ya kupambana na mapunga kupita vyombo vya habari? sio kazi yake hiyo
Kwa nini anapoends Hardtalk nasi tusiende hukohuko kujibu mapigo? Something wrong somewhere!watu wenye hekima wanaangalia miaka 20-100 ijayo , kauli za Tundu Lissu zitaleta matokeo gani kwenye uchumi na maendeleo yetu. jibu ni kwamba athari zitakuwa kubwa sana hivyo ni vema Tundu Lissu akajibiwa kwa sababu naye anatumia uongo kusema kile anachodhani ni kweli.
Bashiru Ally aliulizwa na mwandishi wa kibongo kuhusu kusiginwa katiba ya ccm kwa kuwapitisha waliojiuza kugombea tena , bila kura za maoni , Alikunja ngumi hadharani , ataweza HARDTALK ?watu wenye hekima wanaangalia miaka 20-100 ijayo , kauli za Tundu Lissu zitaleta matokeo gani kwenye uchumi na maendeleo yetu. jibu ni kwamba athari zitakuwa kubwa sana hivyo ni vema Tundu Lissu akajibiwa kwa sababu naye anatumia uongo kusema kile anachodhani ni kweli.
Baɗala ya kuwafunda wanaCCM kuwa na uwezo wa kujenga hoja anaenɗeles kuwajaza ujinga wa kuenɗelea kujificha kwenƴe mɓawa za vƴombo vya ulinzi na usalama.weng tumesmikisa ndugu Dr Bashiru Ally katibu mkuu wa CCM akihutubia kwa hasira na hisia kali sana juu ya kile anachodai ni kudhalilisha nchi kimataifa kwa ziara anazo fanya Tundu Lissu.
Itakumbukwa Mh Tundu Lissu alifanyiwa kitendo cha kinyama cha kushambuliwa kwa siraha za moto sept 7,2017 mjin dodom ambapo aliumizwa vibaya baada ya kukoswakoswa kufa.
Baada ya Lissu kuchukua hatua za kuiambia dunia na watanzania kwa ujumla kile kilichotokea na kutoa shukrani kwa jamii ya kitaifa na kimataifa iliyosaidi kwa hali na mali matibabu yake, sasa kumezuka uongo na unafiki wa kujitapa kwa wanasisasa uchwara kuitetea nchi.
madai yao ni kwamba ziara za Lissu zinaiaibisha nchi na vyombo vya usalama. Ukweli ni kwamba inaaibika CCM na washirika wake. TunakuTAKA bahiru Ali na washirika wako muache kuchanganya mambo, aibu ya kipigo cha Lissu na watanzania wengine waliopoteza maisha kwa mazingira hayo hayo ya kisiasa.
Taifa halikupat aibu wakati wa kushindwa kutambua wahusika wa mauaji lije kupata aibu kwa kusema waliompiga lisu hawajapatiokana??
Dr Bashiru Ali kwa nini unataka aibu ya ccm na washirika wake iwe aibu ya watanzania? Nikuhakikishie tu kama ulikuwa huna habari ziara za Lissu Ulaya na Marekani tumezipenda mno na tunamshukuru Tundu Lissu kwa kutusemea, Roma Mkatoliki alifanyiwa unyama yaliyotokea na kufuatia pale alipotaka kuujulisha umma tuliyaona. 'MO' alipotekwa na wahuni ambao mpaka leo hawajajulikana tuliona kilichofata pale alipotaka kuujulisha umma.
Aibu yenu isiwe ya taifa, wekeni mambo yenu sawa. Nchi hii imekuwa huru kwa miaka 50 sasa haijafanya lolote la maana mikononi mwa CCM. your failures, is yours, dont donate it to tanzanians.
PhD holder akunje ngumi?Bashiru Ally aliulizwa na mwandishi wa kibongo kuhusu kusiginwa katiba ya ccm kwa kuwapitisha waliojiuza kugombea tena , bila kura za maoni , Alikunja ngumi hadharani , ataweza HARDTALK ?
PhD za kibongo unazijua mkuu ? mbona video yake iko humuhumu jf mjomba !PhD holder akunje ngumi?