Usagaji ni hatari zaidi ya michepuko

Markomx

JF-Expert Member
Apr 23, 2016
701
701
kwa niliyoyashuhudia weekend hii, nilisikitika sana

weekend niliingia Club moja, upande wetu kulikua na wadada wawili,mmoja anacheza (Msagaji), mwingine amekaa anakunywa REDS(msagwaji)

Kulikua na pedeshee mmoja pembeni mara akaungana na mdada akicheza nae,

Yule mdada aliekua kakaa alikuja akaisukuma ile njemba kwa jazba kali, mdada alizua ugonvi mkubwa mpaka baunsa ikabidi waingilie kati kuwatoa njee,mdada alitoa machozi mbele za watu alidiliki kusema"KWANI HUYO MBABA ATAKUPA SHI NGAPI MINIKULIPE SAIVI, kale kadada kengine kalicheka tu,: mpaka nikashangaa kunanini

Kumbe wale wadada ni maarufu kwa usagaji,ndo wenyeji wakasema hapo kuna mke na mume, mke hua anamlipa pesa uyo msagaji,

lodge+vinywaji vyote hua juu yake, baada ya ugonvi kwisha walipanda text na kuondoka, wadau wakasema hapo wanaekekea lodge

wadau walienda mbali zaidi na kudai hako kadada hua kanagombaniwa na wanawake balaaa, kamesha wafanyia michezo iyo wanawake wengi sana,nikundi kubwa sana,

ukikangalia kadada ni kazuri karembo haswaaaa,

Nilifikilia sana nikasema"dunia inamambo"

Kumbe ndoa nyingi sikuizi hazieleweki wanaume wanajua wanachukuliwa na vidume wenzao kumbe kuna hawa ni hatari zaidi kuliko vidume,

Kama kidume hua unamchunguza mkeo/mpenzi inabidi uongeze uchunguzi zaidi na hawa viumbe

Ni hatari
 
noma sana mkuu,nilishangaa sana kuona mdada anatoa machozi kwa sababu ya mdada mwenzie,
 
hatari sana hayo makitu....kuna tukio moja linalohusiana na wanadada wasagaji(ma-lesbians) niliwahi lishudia ktk club moja maarufu ya starehe jijini nairobi,nilibaki mdomo wazi.

ili kulisimulia vizuri bila kupunguza ukali wa maneno,itabidi nilipost kule jukwaa la wakubwa.hapa mod wanaweza wakafuta.

usagaji ni janga kubwa la kidunia kwa wadada/mabinti wa kileo.
 
andika kifup mkuu, wengine hatuna access na jukwaa la wakubwa
 
hatari sana hayo makitu....kuna tukio moja linalohusiana na wanadada wasagaji(ma-lesbians) niliwahi lishudia ktk club moja maarufu ya starehe jijini nairobi,nilibaki mdomo wazi.

ili kulisimulia vizuri bila kupunguza ukali wa maneno,itabidi nilipost kule jukwaa la wakubwa.hapa mod wanaweza wakafuta.

usagaji ni janga kubwa la kidunia kwa wadada/mabinti wa kileo.
Mkuu naomba msaada nafikaje huko kwa wakubwa??
 
mwisho wa hawa watu ni mbaya kuliko tunavyodhani, laana jumlisha michosho ya akili, nawaonea huruma sana
 
Mi huwa nashindwa kuelewa navyojua raha ya mwanamke ni kumpata mwanaume sasa huyu mwanamke anayejifanya Mwanaume anamfanyia nini mwenzake ? Aisee kweli haya ni mabadiliko ya tabia nchi
 
Siku nikifanikiwa kuingia jukwaa la wakubwa nitakesha aiseee.mana mwaka wa tano.kila niki mpm moderator holaaaa
 
Back
Top Bottom