Usagaji na ushoga walaaniwa! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Usagaji na ushoga walaaniwa!

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Askari Kanzu, May 17, 2011.

 1. Askari Kanzu

  Askari Kanzu JF-Expert Member

  #1
  May 17, 2011
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 4,526
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 145
  Kaazi ipo!
  Malawian president says Homosexuals are worse than dogs

  Monday, May 16, 2011, 16:31

  Malawian President Bingu wa Mutharika has delivered a blistering attack on homosexuals describing them as "worse than dogs" and the act abhorrent.

  Mutharika addressing a Democratic Progressive Party (DPP) rally in Malawi's capital, Lilongwe sharply objected to rights activists calls to respect minority rights including that of gays and lesbians in the fight for HIV/Aids.
  [​IMG]
  Lesbian kiss: Equal love, not for Bingu

  He adopted Zimbabwean President Robert Mugabe's stance against homosexuals saying they area worse than dogs.

  "You will never see dogs marry each other," Mutharika told thousands of his supporters in remarks broadcast like on state radio MBC.

  "These people want us to behave worse than dogs. I cannot allow it,"
  he said. Mutharika said the sanctity of a family revolved around a father, a mother and children. Government has been accusing human rights groups campaigning for minority rights of being funded by foreign interests.

  Last year, the Malawi' s first openly gay couple was convicted of practicing homosexuality and sentenced to the maximum 14 years in jail. The president pardoned the couple following international pressure.

  -(Reporting by Judith Moyo, Nyasa Times)
   
 2. Gaijin

  Gaijin JF-Expert Member

  #2
  May 17, 2011
  Joined: Aug 21, 2007
  Messages: 11,850
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 0
  Wazungu wakitaka lao mbona Waafrika mtakoma! Soon moto utamuwakia na JK nae
   
 3. Trustme

  Trustme JF-Expert Member

  #3
  May 17, 2011
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 1,172
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  "You will never see dogs marry each other," Mutharika told thousands of his supporters in remarks broadcast like on state radio MBC.
  "These people want us to behave worse than dogs. I cannot allow it,"[/COLOR] he said. Mutharika said the sanctity of a family revolved around a father, a mother and children. Government has been accusing human rights groups campaigning for minority rights of being funded by foreign interests.
  )[/I][/QUOTE]

  Huwezi kumfananisha binadamu na mbwa kwa sababu ni vitu tofauti kabisaaa
  1. Mbwa hafanyi mapenzi bali wanapandana wakati mbwa jike akilwa kwenye joto tu ili kuzaliana
  2. Binadamu tunafanya mapenzi siyo kwa madhumuni mawili, kujifurahisha nafsi zetu na kuzaliana
  3. Sasa kama hawa malesbian wameamua kujifurahisha wao wenyewe waacha waendeleee kutimiza dhumuni la kufurahisha nafsi zao tu
  wakitaka kuwa na mtoto hakuna jinsi lazima watafute jinsia nyingine.
  Kwa hiyo kumfananisha binadamu na mbwa siyo sahihi kabisa, labda wao ndiyo wamefanana na hawoo mbwaaaa!
   
 4. Gaga

  Gaga JF-Expert Member

  #4
  May 17, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 4,565
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  Aaaaaggrrrrrrrrrrrr wanaiga tu
   
 5. Safina

  Safina JF-Expert Member

  #5
  May 17, 2011
  Joined: Jun 18, 2009
  Messages: 498
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0

  Naunga mkono hoja, na hawa walioanzisha hii mambo sijui walipatwa na nini haswa jamani!!!!! Sijui ni kuvunjwa vunjwa moyo na hii jinsia nyingine au ni nini haswa? Maana kadri siku zinavyozidi kwenda ndo haya mambo yanakuwa kwa kasi ya ajabu, Mwenyezi Mungu tunaomba uwanusulu watoto wetu.
   
 6. KWI KWI

  KWI KWI JF-Expert Member

  #6
  May 17, 2011
  Joined: Mar 31, 2011
  Messages: 286
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Mimi kwakweli wananichukiza sana....Ndio sababu nikaacha kutumia Facebook...kuna lishoga liliniomba urafiki..nilipokubali tu...kesho yake nakuta ameni''tag'' picha yake aliyopiga ****** nje.Ovyo kabisa.
   
 7. inols

  inols JF-Expert Member

  #7
  May 17, 2011
  Joined: Sep 22, 2010
  Messages: 285
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  What a crap!!!!!!

  This is how it always starts, normalize what even in your sound mind you know that you must be schizophrenic case to do so! How can you make your fellow man a woman, you must be out of your mind to do so! Aren't there enough women to gratify your uncontrolled sexual needs? There is no such a thing of being born as a man and acquiring feelings of a woman, this is scientific frauding, to normalize this type of insanity. Hupo hapo kijana!!!!!! Mambo siyo!!!!! Wengine watakuja na kukuambia kula mavi yako kunaongeza nguvu, je utaanza kula mavi yako? Kwa hiyo fikiria sana kabla ujaanza kusapoti ushizi wa usagaji na ushoga. Ningekuona wa maana sana kama ungetoa maoni ya namna ya kuwasaidia dada zetu na kaka zetu ambao wameathirika na hili tatizo, kwa sababu ni wengi sana wanatamanin kuacha lakini wanashindwa.

  Huwezi kumfananisha binadamu na mbwa kwa sababu ni vitu tofauti kabisaaa
  1. Mbwa hafanyi mapenzi bali wanapandana wakati mbwa jike akilwa kwenye joto tu ili kuzaliana
  2. Binadamu tunafanya mapenzi siyo kwa madhumuni mawili, kujifurahisha nafsi zetu na kuzaliana
  3. Sasa kama hawa malesbian wameamua kujifurahisha wao wenyewe waacha waendeleee kutimiza dhumuni la kufurahisha nafsi zao tu
  wakitaka kuwa na mtoto hakuna jinsi lazima watafute jinsia nyingine.
  Kwa hiyo kumfananisha binadamu na mbwa siyo sahihi kabisa, labda wao ndiyo wamefanana na hawoo mbwaaaa![/QUOTE]
   
 8. inols

  inols JF-Expert Member

  #8

  What a crap!!!!!

  This is how it always starts, normalize what even in your sound mind you know that you must be schizophrenic case to do so! How can you make your fellow man a woman, you must be out of your mind to do so! Aren't there enough women to gratify your uncontrolled sexual needs? There is no such a thing of being born as a man and acquiring feelings of a woman, this is scientific frauding, to normalize this type of insanity. Hupo hapo kijana!!!!!! Mambo siyo!!!!! Wengine watakuja na kukuambia kula mavi yako kunaongeza nguvu, je utaanza kula mavi yako? Kwa hiyo fikiria sana kabla ujaanza kusapoti ushizi wa usagaji na ushoga. Ningekuona wa maana sana kama ungetoa maoni ya namna ya kuwasaidia dada zetu na kaka zetu ambao wameathirika na hili tatizo, kwa sababu ni wengi sana wanatamanin kuacha lakini wanashindwa.
   
 9. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #9
  May 17, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180
  Askari Kanzu sijawahi kuona jina lako mitaa hii... Nishazoea kukuona kitaa kingine....

  Thread yako haya mambo yanavyo kuja kwa kasi yanauma saaana.... Naona hata taabu kuelezea... Basi lakini ndo dunia yetu hii kila mtu yuko huru kufanya lolote, afadhali hata nchi ambazo zina viongozi wanasimamia...
   
Loading...