Usafishaji wa pochi nyeupe ukoje

Usafishaji wa pochi nyeupe ukoje

Mkuu kusafisha kutokea wapi maana kwa ndani hapa hapa huwa tunaweka kwa nylons zile hydrophobic...

Ila kutoka nje hyo inakuaal tofauti
 
Mkuu kusafisha kutokea wapi maana kwa ndani hapa hapa huwa tunaweka kwa nylons zile hydrophobic...

Ila kutoka nje hyo inakuaal tofauti
Kama unauza umetoa zile nylon zimepotea unataka mteja aone kwa hiyo hapo zimetundikwa huwa zinashika uchafu unatumia mbinu gani kusafisha
 
Kuna spray ya leather inapatikana supermarket, ile inayotumika kusafisha sofa za leather, hata kwenye ma carwash wanakuwaga nazo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom