Leseni ya kusafirisha mazao Ina gharama kiasi au inategemeana na kiwango Cha mazao*Stakabadhi uliyolipia ushuru. Hapa inaeleza mazao yanakokwenda.
*Leseni ya biashara ya kusafirisha mazao.
Nenda tra usisahau na kibali cha halmashauriLeseni ya kusafirisha mazao
Leseni ya kusafirisha mazao Ina gharama kiasi au inategemeana na kiwango Cha mazao
Mim nidhan lesen ya kusafirisha mzao wanakuwa nazo wale wenye magari kama sikosei means mwenye gari inatakiwa akate kibali Cha kusafirisha huo mzigoLeseni ya kusafirisha mazao
Leseni ya kusafirisha mazao Ina gharama kiasi au inategemeana na kiwango Cha mazao
Kama nimelima mwenyewe!*Stakabadhi uliyolipia ushuru. Hapa inaeleza mazao yanakokwenda.
*Leseni ya biashara ya kusafirisha mazao.
Inategemea Una mazao kiasi gani.Kama nimelima mwenyewe!
Sawa MkuuInategemea Una mazao kiasi gani.