Usafiri wa mwendokasi bado ni shida

Usafiri wa mwendokasi bado ni shida

mm hata sielewi waliobuni mradi huu walikuwa wanafocus miaka mingapi mbele ! Anyway kwa kusema kweli kabisa hawa watalaam kwa wakati huo wlipokuwa wakibuni mradi huo sijui mwaka gani walikuwa nyuma miaka 30 ndio kinachotugharimu sasa hivi. ukiangalia hata flyover ya mfugale pale tzr itaaleta shida itaja onekana haisaidii kitu miaka kumi ijayo.
Sina uhakika kama sisi waafrika watanzania tunaweza kujenga kitu kikadumu miaka 50. Hata bajeti tu za mwaka mwaka zinapitishwa bungeni lakini utekelezaji ndio asilimia 16 kwa baadhi ya wizara na nyingine asilimia 200 kama Prof. Asad alivyosema. Kama kitu cha mwaka mmoja tu results ndio hizo, tukipanga cha miaka 10 mbele si tutasababisha majanga kabisa!

Tuishauri serikali ijisalimishe kwa mabeberu pale panapotakiwa kufanyika kitu cha kudumu muda mrefu. Hii ianzie kwenye planning mpaka utekelezaji. Yapo maeneo mengi nina mashaka nayo ambayo kwa sasa tunaaminishwa kuwa mambo yapo safi, ila baada ya muda tutaambulia kilio na kusaga meno.
 
Nadhani ana kauzembe fulani.

Mzembe Babaako wewe aliesahau kutumia Kinga mpaka ukapatikana Mjinga km ww kwa bahati mbaya!
Its such a shame you're a Product of unwanted pregnancy😏😜 I feel your pain. Pole sana,
 
Vijana wenyewe na wao wanatafuta wanawake wakuwapa vits


Anafkiri kila mwanamke anajiuza utu wake kwa vitu vya Kidunia, huyo hashindwi Kuliwa kiboga kwa tamaa yake ya Gari! 😂😂
ananishangaa mm asonijua kwamba sijahongwa gari ila hashangai Dadaake na Mamaake wanaovuja jasho la Kwapa kugombania daladala za kwao mbagala. Ye mwenyewe hata Baskeli hana. Limbukeni wa Gari!
 
Baba angu tena. Kwanini nisikununulie mimi

Hapo ulipo huna hata hela ya kujinunulia Boxer mpya, utaweza kununua gari? Unikome fala ww kama imekuuma sn mm kutumia Public Transport anza kwanza kumnunulia mamaako japo "starlet" kwa mkopo maana cash huna, aache kugombania daladala za kwenu Mbagala huku jasho zikimvuja
 
Mkuu ni kero kubwa sana,leo nimekaa pale gerezani kkoo mida ya jioni ni vita kubwa
 
Back
Top Bottom