Wana JF sijawahi kupanda mabus ya mwendokasi kwa kipindi cha asubhi kutoka Mbezi to Kariakoo, sababu siishi maeneo ya njia ile. Ila jana niliutumia usafiri ule nikitokea Mbezi to Kariakoo kwa asbhi ..... jamani nimegundua ule usafiri ni hatari sana, kwanza nimeona magari ni machache watu ni wengi mno, pili nikagundua TB unaweza kuipata kwasababu mjazano ule sijawahi kuuona popote pale, nilishindwa kuvumilia hadi nikashuka Ubungo nikapanda magari nusu susu hadi nikafika kariakoo.
Swali: Kwanini hio kampuni isiyayaongeze hayo mabus yakawa mengi? Maana kwa ujaagi ule hata ikitokea dharula yeyote nimeona risk yake itakuwa 75%, duuu hatari sana,
Sent using Jamii Forums mobile app
Swali: Kwanini hio kampuni isiyayaongeze hayo mabus yakawa mengi? Maana kwa ujaagi ule hata ikitokea dharula yeyote nimeona risk yake itakuwa 75%, duuu hatari sana,
Sent using Jamii Forums mobile app