Masalu Jacob
JF-Expert Member
- Jul 26, 2017
- 1,341
- 1,499
Habari Tanzania !
Tunawaomba TANESCO na Wizara ya Usafirishaji na Uchukuzi si mtupatie hii huduma watu wa Mwanza maalumu wakazi wa Milimani.
Mfunge Usafiri waya kutoka:
1. Mkuyuni - Bugando - Mabatini - Mahina.
2. Kigoto - Kirumba - Bwiru
3. Mirongo - Kilimahewa - Buswelu.
NB
Watani zetu Wasambaa toka Lushoto na Wapare wa Usangi na Ugweno watuonee wivu ariiiikah.
Karibu.