MBEGU BORA
JF-Expert Member
- Jun 14, 2016
- 499
- 356
dar-kigoma itakua wikiMbona hapo karibu sana? Dar Kigoma je? Ama Mbeya-Mwanza
dar-kigoma itakua wikiMbona hapo karibu sana? Dar Kigoma je? Ama Mbeya-Mwanza
umenena kweki broInawezekana hujawahi kupanda gari. Unasema gari itembee 80kph hadi mbeya kwa sababu ni 900km? Yaani wewe unachukua 900 unagawa kwa 80. Maajabu gari haiwezi kutoka stendi ubungo na 80kph hadi mbeya. Labda liwe peke yake barabarani na hakuna foleni, hakuna milima kama ndege vile.
Point yako naiunga mkono, ila kwenye spidi 100 hapo sikubalian nawe, 80 inatosha kabisa kwa safari ya siku moja, ila wasipitie mizani, sidhani kama kutapatikana ajali kwa hiyo spidi ya 80.
Kusema ukweli Tanzania inahitaji utafiti wa hali ya juu. Kwani kwa sasa hata kwenda hapo Mororgoro tu muda unaotumika ni mrefu. Na naungana nawe kuwa ni vema kuangalia jisni ya kupunguza muda. Sina hakaika kama analysis imefanyika hiyo ya kulala njianai na social implication yake. Naunga mkono juhudi zote za serekali za kuzuia ajali lakini ni vema kuangalia changamoto kuu moja kwani kuna changamoto ambayo imewahi kusemwa nami nimei- experience recently. Ni hili la watu kujenga kando ya bararabara na hata bila ya vibao vya kupunguza mwendo bado tu busara sehemu yenye mji/ kaya za watu utapunguza mwendo tu katika kuendesha. Sasa njia nzima inaanza vamiwa na makazi ya watu ina maana speeed itabidi ipungue hivyo mpaka kufikia 2025, kwenda Mororgoro itachukua masaa sita badala ya matatu. Sijui watalaamu hili wanasemaje?Hayo ni mawazo yako. Ilitakiwa waangalie uwezekano wa kuboresha barabara ili watu watumie masaa sita kwenda mbeya kwa usafiri wa gari. Hii dunia inasonga mbele wala hairudi nyuma. Mtaishia kuwa watumwa milele kwa kukosa maarifa na fikra