bigmind
JF-Expert Member
- Oct 28, 2015
- 12,457
- 12,714
Haya karibu Arusha ila umeambiwa hakuna chakula cha bure..!
Elewa wewe [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Elewa wewe [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Mxewwwww ukiwa mchawi unahisi wote wachawi wanga mwenyewe [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mpenzi kwa hali ilivyo sasa hivi bora hizo coaster tu kuliko upande gari na watu huwajui. Coaster zinakuaga pale nje asubuhi saa moja na hazichelewi kufika huko. Ningeona mapema huu uzi ningekuombea lift kwa rafiki yangu sema ndo nishamuombea mwingine gari imejaaHizo Kosta zinachelewa sana Dada.
Ila ushauri ni mzuri zaidi.
Asante sana kipenzi.Mpenzi kwa hali ilivyo sasa hivi bora hizo coaster tu kuliko upande gari na watu huwajui. Coaster zinakuaga pale nje asubuhi saa moja na hazichelewi kufika huko. Ningeona mapema huu uzi ningekuombea lift kwa rafiki yangu sema ndo nishamuombea mwingine gari imejaa
Labda kama kipo unachokiwahi ila kama hakuna panda hizo hizo sababu Arusha pamechangamka saa zote. Utapata usafiri tu wa kufika uendapo. Sidhani kama waeza kosa hata taxi ya kukufikisha uendapo. Labda kama salio ni dogo ila kama linatosha ni vyema kusafiri safari salama mwaya. (Sio kwamba hakuna watu wema humu ila kwa kuwa we ni kadada hata sikushauri).Hizo Kosta zinachelewa sana Dada.
Ila ushauri ni mzuri zaidi.
Labda kama kipo unachokiwahi ila kama hakuna panda hizo hizo sababu Arusha pamechangamka saa zote. Utapata usafiri tu wa kufika uendapo. Sidhani kama waeza kosa hata taxi ya kukufikisha uendapo. Labda kama salio ni dogo ila kama linatosha ni vyema kusafiri safari salama mwaya. (Sio kwamba hakuna watu wema humu ila kwa kuwa we ni kadada hata sikushauri).
Yani hata angekua mkaka. Watu siku hizi wanadhuru wengine waibe smartphone tuLabda kama kipo unachokiwahi ila kama hakuna panda hizo hizo sababu Arusha pamechangamka saa zote. Utapata usafiri tu wa kufika uendapo. Sidhani kama waeza kosa hata taxi ya kukufikisha uendapo. Labda kama salio ni dogo ila kama linatosha ni vyema kusafiri safari salama mwaya. (Sio kwamba hakuna watu wema humu ila kwa kuwa we ni kadada hata sikushauri).
Kabisa binadamu tunajijua wenyewe na ukizingatia bado ni mdada mdogo hata simshauri apande tu hizo Coaster. Sababu safari inaweza kuzaa safari. Maana masaa zaidi ya 10 kwenye kigari cha watu usiowafahamu ni mtihani huo.Mpenzi kwa hali ilivyo sasa hivi bora hizo coaster tu kuliko upande gari na watu huwajui. Coaster zinakuaga pale nje asubuhi saa moja na hazichelewi kufika huko. Ningeona mapema huu uzi ningekuombea lift kwa rafiki yangu sema ndo nishamuombea mwingine gari imejaa
Fanya hivyo mwaya.Asante sana kipenzi.
Nitafata ushauri wenu nitaleta feedback hapa.
Hakika mwaya.Yani hata angekua mkaka. Watu siku hizi wanadhuru wengine waibe smartphone tu
Unaenda kuhesabiwaWapendwa nataka kusafiri kesho nimekosa tiketi ya kesho.
Kwa wale wenye Usafiri binafsi niko tayari kuchangia 30000- 35000 ya mafuta.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yani hata sijui tutakuwa tunaongea nini DadaIla sweetlee huogopi bana. Sasa kama ukipata msafiri humo ndani ya gari mtakuwa mnaongea habari za jf au? [emoji1787][emoji1787][emoji1787] nimewaza mbali tu dada yako. [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]