Lord Lofa
JF-Expert Member
- Dec 26, 2011
- 2,513
- 2,754
Kama hapendi safari ya kukaa muda mrefu ni bora akafika Bk afu siku Iinayofuata anaondoka asubuhi na gari ya saa 7 by saa 2 mchana yupo kampalaAlmost 12-13hrs. Nauli ni Tshs.45,000/=
Kama hapendi safari ya kukaa muda mrefu ni bora akafika Bk afu siku Iinayofuata anaondoka asubuhi na gari ya saa 7 by saa 2 mchana yupo kampalaAlmost 12-13hrs. Nauli ni Tshs.45,000/=
Kama hapendi safari ya kukaa muda mrefu ni bora akafika Bk afu siku Iinayofuata anaondoka asubuhi na gari ya saa 7 by saa 2 mchana yupo kampala
So route nzuri toka dar hadi kahama tsh 40,000,then kahama to kampala 35,000 jumla 75,000.Usafiri wa basi kutoka Mwanza hadi Kampala ni shilingi 45000 za kitanzania na kutoka Bukoba Hadi Kampala ni shilingi 18000 hadi 20000 elfu za kitanzania na kutoka Kahama hadi Kampala ni 35000 elfu za kitanzania
Huko mbali hivyo unazunguka hadi akili inakukaa na nauli ni kubwa sana. Ukipita kahama-bkb-kampala unaingia mapema sana na nauli yako unarudishiwa na chenjiDuh nauli imefika 110,000??? nmeanza kupanda akamba 30k miaka ya 2000's. then Scandinavia 40k. Then ikaja regional 35k. mwaka juzi nmekwenda kwa kampala coach nauli ilikuwa 85k.
But nilikuwa naienjoy kufanya connection esp nikikosa bus ya direct. Natoka Dar-Arusha-Nairobi -Busia-Kampala. Au Kampala - busia - Kericho - Nairobi - namanga - arusha - dar
Huko mbali hivyo unazunguka hadi akili inakukaa na nauli ni kubwa sana. Ukipita kahama-bkb-kampala unaingia mapema sana na nauli yako unarudishiwa na chenji
Madam upoAlmost 12-13hrs. Nauli ni Tshs.45,000/=
Sijui kama bado kuna watu wengi wanasafiri kwenye hizi route?Mtupe update za sasa? Kuhusu nauli wakuu
Nipo za sikuMadam upo
Passport ya kawaida ya 35000 ikoje mkuu??PANDA TAQWA NA KUHUSU PASSPORT NI LAZIMA,ILA UKIKWAMA ANDAA KAMA ELFU 10 AU 20 HIVI UKIFIKA MUTUKULA BORDER UTAPEWA PERMIT YA KWENDA UGANDA KWA UPANDE WA TZ WATAKUPA BURE AU WANAWEZA KUKUOMBA YA SODA KAMA TEN HIVI,NA UPANDE WA UGANDA ILI WAKUGONGEE MUHURI NI LAZIMA UTOE KIASI KIDOGO PIA,ILA KAMA HUTAKI USUMBUFU CHUKUA PASSPORT ILE YA KAWAIDA TU NI KATI YA 35000,AU 30000/= NA KUNA BASI LINAITWA FRIENDS PIA UNAWEZA KUULIZA HAPO MBEZI NI BASI ZURI SANA, JAPO HATA TAQWA SIO BAYA
Nikurahisishie tu ndugu yangu ili usipate usumbufu panda gari za bukoba. Lala bukoba asubuhi unapanda gari za bukoba Hadi Boda ya mtukura. Pale utapata magari mengi sana. Ila ukipanda la Moja kwa Moja kwa shabiby au dar luxy nauli kwa sasa ni laki mbili. Na utaptia Nairobi. Bukoba ni short cute. Na utatumia kama laki 1 tu.Naomba kuuliza kwa wazoefu..nauli ya kutoka Dar es salaam kwenda Uganda ni shilingi ngapi. Na ni bus gani zuri la kusafiria? na kwenda Uganda kunahitajika paspoti ya kusafiria au ni kitambulisho cha kawaida.
Nauli mpya dar to mz ni 65 na mz to Kampala ni 65 jumla ni 130 hapo hujalala. Ila ukiunga dar tu bukoba inakua nafuu sanaKutoka Mwanza mpaka Kampala ni bei gani ? na Dar Mwanza ni bei gani ?
kama unaenda kusoma niamini mimi baki tu bongo. Pass ni ya karatasi.Naomba kuuliza kwa wazoefu..nauli ya kutoka Dar es salaam kwenda Uganda ni shilingi ngapi. Na ni bus gani zuri la kusafiria? na kwenda Uganda kunahitajika paspoti ya kusafiria au ni kitambulisho cha kawaida.