Usafiri safi na salama

Usafiri safi na salama

ndumbo jr

Member
Joined
Jul 4, 2017
Posts
74
Reaction score
30
Habar wakuu natumai ni wazima.
Kama kichwa cha habar kinavyojieleza kwa wale wanaoitaji usafir kwa shughuri mbalimbali
* harusi au hafla
* kusafirisha misiba (mkoa wowote)
* kukodi kwa shughur mabalimbali

- na pia kwa mtu atae toa kaz aidha ya kusafir kwenda mkoan au trip town kuna asilimia ambazo anapata baada ya makubaliano ya kazi anapata asilimia zake.
-gar zipo imara kabisa na pia A/C ipo vizur mno

-mawasiliano

+255685844841
+255713844841

Kwa maelezo zaidi piga namba hizo
Ahsanten
 
Weka picha kwanza
Ucje ukatuingiza chaka
Kwenye mikokoten ya sumatra na hii mikokoten yake. Princes muro,mtei,osaka,meridian
Ya,zaman. Hiz,hazifai kuwa
Barabaran

[Color= yellow]Triple A[/color]
 
Weka picha kwanza
Ucje ukatuingiza chaka
Kwenye mikokoten ya sumatra na hii mikokoten yake. Princes muro,mtei,osaka,meridian
Ya,zaman. Hiz,hazifai kuwa
Barabaran

[Color= yellow]Triple A[/color]
Dhihaka ni mbaya sana.
Mikokoteni ambayo huwezi kuimudu sio?
 
Gari hizo zinapatikana nchi nzima au ni hapo ulipo tu!
 
Back
Top Bottom