King’asti Platinum Member Joined Nov 26, 2009 Posts 27,866 Reaction score 24,985 Dec 7, 2011 #21 hahaha, hao ndo kikosi cha mwamvuli ama cha maturubai? sasa kunusa na pua kwao haina madhara? manake polisi wamezoea kutumiwa tu hawajiulizi! kule usukumani mbona wangenusa kisanduku cha mtu wakakutana na joka wakagongwa pua,lol
hahaha, hao ndo kikosi cha mwamvuli ama cha maturubai? sasa kunusa na pua kwao haina madhara? manake polisi wamezoea kutumiwa tu hawajiulizi! kule usukumani mbona wangenusa kisanduku cha mtu wakakutana na joka wakagongwa pua,lol
Ulimakafu JF-Expert Member Joined Mar 18, 2011 Posts 31,963 Reaction score 13,943 Dec 7, 2011 #22 Siamini kama ni kweli,la sivyo askari hao wanatumia masaburi.