Usafiri enzi hizo

Nazikumbuka sana RAB malafyale
Kabla ya RAB zilikuwepo za registration RAA.
Lakini sisi tukiwa wanafunzi miaka hiyo zilikuwepo RAB 503, RAB 504, RAB 505, 506 na kuendelea.

Gari hizi za Leyland zilikuwa maarufu kanda nzima ya nyanda za juu kusini.
 
Mpaka number zake unakumbuka. Ilikuwa mwendo wa warrant tu.
 
Huu uhondo wa miaka hiyo vijana wengi hawaujui.
Basi hizo za zamani zaidi ilikuwa Leyland Albion, baadaye zikaja Leyland Clysdale(Au Leyland CD)
Mlio wa hizo gari kwa abiria ilikuwa muziki tosha!

wazee walihamishiwa Babati from Arusha...sasa tukitoka Arusha saa 2 Asubuh Babati tunafika saa 10-11 Jioni...kitu kinalalamika njia nzima mpaka Twiga pale Tarangire-Mbugwe tukiwa tunakatisha walikuwa wanakuja barabarani kushuhudia...
Kitu Tanganyika Bus, then ikaja Mtei ....Nyuki, Homeguys...Bazuu, halafu yakaja mabasi ya Scania ya Bullet na Born City haya yalikuwa yanaenda mpaka Singida..
 
Kabla ya RAB zilikuwepo za registration RAA.
Lakini sisi tukiwa wanafunzi miaka hiyo zilikuwepo RAB 503, RAB 504, RAB 505, 506 na kuendelea.

Gari hizi za Leyland zilikuwa maarufu kanda nzima ya nyanda za juu kusini.

mkuu uliziona pia Bus za Bedford? hizi kidogo hazikuwa zikilalamika kama za Leyland...hizi za bedford zilikuwa zikishika break zinasonya mxsuiii.... halafu ikaja chai maharage za isuzu pia...
 
nakumbuka enzi hizo kulikuwa na basi linaitwa solank, tabora - urambo
 
Sitaisahau born city Mtu unatamani ipae ifike Singida kuwahi wastara...kweli maisha yanabadilika
 
Laah nimekumbuka mbali heshima kwenu wakuu nimeishia kucheka tu
 
mkuu kumbe umetoka huko?bon city nafikir haipo tena barabarani.

Born city ilikuwa maneno ya mujini Ark.... hata kama nauli imekatika watakuchukuwa tu...Born ilibidi irudie route ya Singida baada ya kuona Sahib bus anatesa abiria..alikuwa anaondoka Singida jioni anafika Ara asubuhi..born aliporudi akawa anafika Ara saa nne za usiku.pia madereva wa born walikuwa na urafiki na walikuwa na uzoefu....Mamlo...Masai Onesmo....Kijiko....Richardi sasa yupo Buffalo....Juma.. na wengine kwa sasa ni RIP.
 
Kabla ya RAB zilikuwepo za registration RAA.
Lakini sisi tukiwa wanafunzi miaka hiyo zilikuwepo RAB 503, RAB 504, RAB 505, 506 na kuendelea.

Gari hizi za Leyland zilikuwa maarufu kanda nzima ya nyanda za juu kusini.

mkuu uliziona pia Bus za Bedford? hizi kidogo hazikuwa zikilalamika kama za Leyland...hizi za bedford zilikuwa zikishika break zinasonya mxsuiii.... halafu ikaja chai maharage za isuzu pia...

Duh! Wakuu, mmenikumbusha mbali sana!
 
MB zilikuwa namba za Mbeya. Inaonekana Mbeya walikuwa na barabara nzuri toka enzi na enzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…