Mkwamishaji
Member
- May 21, 2013
- 37
- 39
Natarajia kusafiri kutoka Arusha kwenda Shinyanga siku ya J/mosi, nahitaji kujua basi zuri.msaada tafadhali
Wewe ni ME au KE ili nije kukupokeaNatarajia kusafiri kutoka Arusha kwenda Shinyanga siku ya J/mosi, nahitaji kujua basi zuri.msaada tafadhali
Natarajia kusafiri kutoka Arusha kwenda Shinyanga siku ya J/mosi, nahitaji kujua basi zuri.msaada tafadhali
Kwa majibu yako lazima utakuwa ccm tu! Kuna magari yanaanzia Arusha asbh a mapema halafu asubiri basi la Tanga?Subiri Ally's inatoka Tanga kwenda Shinyanga via Arusha..
Au Freys
🤣🤣🤣🤣Kwa majibu yako lazima utakuwa ccm tu! Kuna magari yanaanzia Arusha abh na mapema halafu asubiri basi la Tanga?
Wewe ni ME au KE ili nije kukupokea
Usipopewa ushauri wa gari zuri ina maana hautasafiri.
Ingekuwa safari ya kwenda Rukwa mbona ungetoa matangazo redioni.
Panda Asante Rabi nauli tshs 25,000 saa tisa kasoro uko Shinyanga! Full charger, halisimami ovyo njiani na hutagonganishiwa siti ulipokata ndo utakapo kaa. Tena unashushiwa kwenye Stand zao hapo Ibinzamata karibu na Serengeti bar! Sio kule Manyoni wanaposhushia mabasi mengine