usafir kwenda Arusha.

usafir kwenda Arusha.

ikhufa

Member
Joined
Apr 2, 2017
Posts
33
Reaction score
21
Amani iwe nanyi... jmn naomba kuuliza ni kitambo kidogo sijasafir kwenda Arusha. kwa wenye kutumia usafir wa mabasi ni magar gani mazur kuelekea huko kwa sasa?
kutoka Dar es salam
Sent using Jamii Forums mobile app
 
mkuu Arusha kuna mabasi mengi mazuri na huduma bora kabisa...
1. Dar lux
2. marangu
haya mabasi yanahuduma poa tu tukiwaacha wakongwe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tatizo magari mazuri ya kwenda arusha yanapakia shekilango alafu yanapita bagamoyo na yanaondoka saa kumi na moja
Hayo mateso ya kuamka saa tisa mi sitaki

God first
 
Ipo boti pale bandarini huwa inaondoka kila siku asubuhi nakufika Atusha saa 3usiku.
 
Tatizo magari mazuri ya kwenda arusha yanapakia shekilango alafu yanapita bagamoyo na yanaondoka saa kumi na moja
Hayo mateso ya kuamka saa tisa mi sitaki

God first
Mkuu mbona unausemea moyo wa aliyeomba msaada? Wewe endelea kulala uwe unatoka zako na Saibaba ya saa Sita ukafike arusha saa tano usiku saaafiii
 
mkuu Arusha kuna mabasi mengi mazuri na huduma bora kabisa...
1. Dar lux
2. marangu
haya mabasi yanahuduma poa tu tukiwaacha wakongwe

Sent using Jamii Forums mobile app
Mmmh Marangu Coach?
Njia nzima gospel utafikiri wanasafirisha Mapadri..

Zipo gari nzuri,
DAR LUX
KILIMANJARO,
TAHMEED
EXTRA.

DAR X PRESS
 
Mmmh Marangu Coach?
Njia nzima gospel utafikiri wanasafirisha Mapadri..

Zipo gari nzuri,
DAR LUX
KILIMANJARO,
TAHMEED
EXTRA.

DAR X PRESS
niliacha klm na dar express makusudi, hawa wamebaki na majina tu lkn hakuna huduma bora tena hapo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom