Ananiambia amechoka, kila akiwa mapumziko anapanga nyumba, akienda kazini akirudi anaweza kuta nguo kwenye makochi hamna pa kukaaa.Usafi ni tabia ya mtu but it can also be taught.Kwanini asikae na mke wake akamweleza kuhusu hilo swala.
From your answer am guessing hajamwambia, watu wengi wako clueless about many things,wanadhani vitu wanavyofanya viko sahihi unless umwambie otherwise.Ananiambia amechoka, kila akiwa mapumziko anapanga nyumba, akienda kazini akirudi anaweza kuta nguo kwenye makochi hamna pa kukaaa.
Asante nitamfahamisha hili, pia nitaleta mrejesho.From your answer am guessing hajamwambia, watu wengi wako clueless about many things,wanadhani vitu wanavyofanya viko sahihi unless umwambie otherwise.
So either akae na wife amweleze sternly kuhusu hiyo hali,kwamba haikubaliki.Pia akiwa anapanga nyumba asifanye peke yake amshirikishe na his wife huku anampa pointers.Kidogo itaanza kumjengea mazingira ya usafi na kuwa organized.
Also you can try kuongea na huyo wifi kwa kugusia tu, maybe atakusikiliza a fellow woman.
All in all tabia hazirekebishiki ndani ya muda mfupi, awe mvumilivu.
Kama vile unamwongelea mdogo wangu na mkewe, maana wifi yangu ni kakimeo mpk waweza lia pekee yako, halafu tatizo harekebishiki!Rafiki yangu wa karibu sana, ameoa na wamejaliwa kupata mtoto mmoja wa kike. Huyu bwana kwakweli ni kama kaka yangu, tunashare mengi sana. Imebidi na mkewe pia awe rafiki yangu.
Tatizo linakuja bwana ananiambia mke wake nyumbani yuko rough sana, ananieleza dada zake wakija kumtembelea wana panga nyumba, wakiondoka wifi analalamika vitu vyake havioni.
Sijawahi kufika nyumbani kwao, ananiambia inabidi apange kwanza kabla sijakwenda. Katika maongezi nilimgusia dada mwingine bila kufahamu kama ninagusa hisia zake, nilimhadithia jinsi nyumba ya Victoria ilivyo safi, alinijibu "wanawapata wapi wanawake wa aina hiyo?"
Huyu kaka, siku akipata mwanamke msafi, ninadhani ndoa itapumulia mashine.
Hawaelewi kuwa hivyo vitu vinaweza kumfanya mwanaume akae bar baada ya kazi, hataki kurudi nyumbani kwenye ghasia.Kama vile unamwongelea mdogo wangu na mkewe, maana wifi yangu ni kakimeo mpk waweza lia pekee yako, halafu tatizo harekebishiki!
You said it all mjomba.Ndoa ni muunganiko wa watu wawili wenye akili, tabia na malezi tofauti.....kuna wengine wamekulia katika maisha ambapo suala la usafi wa ndani ni la dada wa kazi.....kuna wengine wamekulia katika maisha ambapo ameanza kutambua kuwa majukumu ya usafi ni yake tangu anavunja ungo.......
Ni vigumu sana kukutana na mwanamke au mwanamme kwenye ambaye mnaendana kwa kila kitu....lazima kuna baadhi ya mambo mtakuwa mnatofautiana kimtazamo.....wakati wewe suala la usafi unalichukulia kuwa ni la muhimu sana kwa mwenzako ni suala la ziada.......wakati unaichukulia pombe na sigara ni vitu vibaya sana kwa mwenzako ni vitu vinavyompa raha sana......
Ni ngumu sana kushughulikia hali hizi ikiwa hutakuwa mvumilivu na mwenye subira.....unaweza ukambadilisha mitazamo yake na ikafanana na yako na mkaishi vyema tu lakini habari mbaya ni kuwa hayo yote hayawezi kufanyika kama unavyotaka wewe.......unatakiwa uwe mjasiri na kumuelezea kero zako katika lugha isiyo ya kukera na jitahidi usimwambie hayo mbele za watu.....bali mkiwa wawili.....
Kujenga ndoa kunahitaji ushirikiano wa wanandoa wote.....huku kila mmoja kwa nafasi yake akijitahidi kushughurika na kero za kwenye ndoa hiyo.....
Hata wazee wetu waliodumu kwa muda mrefu kwenye ndoa ni kwa sababu ya kuvumiliana na kuheshimiana bila ya kusahau kuwekana sawa kila mambo yanapokwenda kombo......
You said it all mjomba.
Hapana mjomba, ninapenda mpangilio, wanasema jinsi unavyopanga vitu, ndiyo akili yako inavyofikiri.