Usafi wa nguo za ndani

Hivi wakiwa kwenye hedhi napo wanazirundika??? ptuuuu.. i wanna puke...!!
 
Swali kwa kina dada, chupi kitaaalam (hasa kwa wadada) inatakiwa ivaliwe mara ngapi ndipo isitumike tena? Na chupi ikivaliwa leo inatakiwa kukaa siku ngapi kabla haijavaliwa tena?
 
Swali kwa kina dada, chupi kitaaalam (hasa kwa wadada) inatakiwa ivaliwe mara ngapi ndipo isitumike tena? Na chupi ikivaliwa leo inatakiwa kukaa siku ngapi kabla haijavaliwa tena?

Nimeipenda ID yako.
 
Utakuwa unafuliwa chupi wewe bila shaka
 
wanawake wanaorundka chupi ni wachafu kuna ugumu gani hadi urundike jamani yenyewe unaweza kuifua kabla ya kuoga kama ninavofanyaga kulundka hapana aise kisingizio eti hazitakati
 
wanawake wanaorundka chupi ni wachafu kuna ugumu gani hadi urundike jamani yenyewe unaweza kuifua kabla ya kuoga kama ninavofanyaga kulundka hapana aise kisingizio eti hazitakati

Hshahaaaa.....lol
 
Ehe kumbe wengi wamo
 
utasababisha waanze kujisugulia machupi yao wakati wa kuoga.

Thanks for this useful post andate

Mchezo huu nilifanya Sana nikiwa boarding school especially olevel
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…