Dawa ni maji ya baridi tu
Maji ya baridi kama yale yalotoka kwenye fridge ni chiboko
Kwa kutaitisha kitu kinabana eti,,hhhhhaaaa
Kitu kinatyt kama cha mtoto
habari wapendwa mie ni
msichana.. Nimeona sehemu na haikutosha nikatumiwa txt . Ni kuhusu
kujisafisha kwa uke, kuna kila aina ya usafishaji mfano maji ya moto na
kitambaa au kidole, ndimu, hata asali na pamba. Mie binasi naijua maji
kwa kidole. Ila ni hii ya asali na pamba mixer na maji ya oto na sabuni
jaman dada zangu ni njia ambayo haifai maana inauwa ulinzi(bacteria)
wanailinda uke wako njia hii inamadhara sana kama hujui inaweza
kukuletea cancer ya kizazi. Tafadhalini sana tujaribu kuepuka mambo
yanayo epukika. Asanteni
habari wapendwa mie ni msichana.. Nimeona sehemu na haikutosha nikatumiwa txt . Ni kuhusu kujisafisha kwa uke, kuna kila aina ya usafishaji mfano maji ya moto na kitambaa au kidole, ndimu, hata asali na pamba. Mie binasi naijua maji kwa kidole. Ila ni hii ya asali na pamba mixer na maji ya oto na sabuni jaman dada zangu ni njia ambayo haifai maana inauwa ulinzi(bacteria) wanailinda uke wako njia hii inamadhara sana kama hujui inaweza kukuletea cancer ya kizazi. Tafadhalini sana tujaribu kuepuka mambo yanayo epukika. Asanteni