Usafi wa kucha muhimu

Usafi wa kucha muhimu

siipendi sana hiyo biashara utakuta mke wa mtu kaenda eti kuoshwa miguu ikiwa nyumbani kanunuliwa kila aina ya mafuta na losheni zote. mambo mengine ni bora kuyaacha tu yapite ebu fikiria kipindi unakuwa wazazi si walikufundisha kuoga ikiwa na pamoja na kufua nguo ya ndani pindi umalizapo kuoga ila wazazi hao hao hawakuwahi kumwambia binti yao kuwa anatakiwa achukue chupi aipeleke sehemu ikafuliwe kisha miguu aende akasaidiwe na fulani kuiosha. kunapokuja kuelekea nakuhakikishia kutakuwa na madobi wa kufua chupi tu.
 
alafu wanawake huwa hawapendi kusafishwa na wanawake wenzao... ukiwauliza kwanini utasikia wanawake hawajui kusugua vizuri
 
Back
Top Bottom