Usafi wa jiko muhimu sana.

Umenikumbusha miaka michache nyuma. Nilikuwa kila Ijumaa napenda kununua kuku wa kukaanga kwenye restaurant moja ya wachina na kuongeza vikolombwezo vingine ili kupata supper/dinner. Hiyo siku ya siku mlango wa jikoni kwa mara ya kwanza nikaukuta wazi. Lile jiko lilikuwa chafu kupita maelezo sikununua kuku siku ile na sikurudi tena pale. Hadi hii leo napata shida sana kwenda kula restaurant za hawa jamaa. Watu wengi wanawasifia kwamba ni watu wachafu sana.

 
Hahahah hii ilishantokea,nilienda sehemu ndoo ya maji ya kupikia ndio hio hio ya kuogea.
 
Reactions: BAK
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…