Hiyo picha ya kwanza ni samaki ndani ya mitaro ya mitaani au.?
Tangu mfalme meiji afanye mageuzi hivi ndivyo 2ajapani walivyo sasaView attachment 906459View attachment 906460
Ndoto za kuifungia JF kwa sababu inaumbua watekaji!Tuna ndoto na sisi
hao samaki bongo wangevuliwa wote


mkuu umenichekesha sana yani bongo ata mitalo ingeziba kabisa....bongo tunalanamkuu umenichekesha sana yani bongo ata mitalo ingeziba kabisa....
Kwenye mitaro ya mikocheni wapo wengi tu na hatuwavui...mkuu umenichekesha sana yani bongo ata mitalo ingeziba kabisa....
Si mitaro wanasema wanafugia samaki....bila shaka itakua misafi.....sipati picha samaki wa mtaroni alivyo..hahaha"Wipe your phone...." wana sababu za msingi na huenda zimefanyiwa tafiti za kutosha wakaona waweke hiyo na hata kusahau mitaro ikiwa michafu
Kwenye mitaro ya mikocheni wapo wengi tu na hatuwavui...
Wabongo wastaarabu sana .....teh teh!
Aaaa kabisahao samaki bongo wangevuliwa wote
wana fanana na hao kwenye pic?Kwenye mitaro ya mikocheni wapo wengi tu na hatuwavui...
Wabongo wastaarabu sana .....teh teh!
Tutaamini vipi kama ni Japan na sio kwa mtogole?Tangu mfalme meiji afanye mageuzi hivi ndivyo 2ajapani walivyo sasaView attachment 906459View attachment 906460
Ninyi mmefanikiwa kutekana tuTuna ndoto na sisi