Usafi ukeni - Sharing is caring

Hebu tuvumiliane kidogo!!!!!!!

Nisiulizwe maswali please: uzoefu wangu bila ya kukusudia kushambulia hisia au jinsia wasioosha kwa kweli wana harufu kabisa wala haijifichi yaani akivua tu pichu.........just go licking around the navel.......kama uko wizara ya elimu kupitia chuo cha utumishi wa umma unaelekea feri!!!!!!!!

No offense intended!!!!!!
 
hahahaaa
Huyo ndiye ODM mwenyewe, na wehu wote kama yeye....waseme ameeeen! lol

Tena ugomvi wangu na wewe, muafaka mpaka mahakama ya rufaa. Huwezi nipotezea namna hii afu nikakuacha hivihivi.
 
Co mbaya Haya jina lako linasadifu ulivyo alafu gunzi likikukwangua unakunywa aspirin 2*3 au siyo

Papuchi unatumia gunzi, makalio tumia steelwool ili watoto wa wanawake wenzio tunapopeleka ndimi zetu pendwa kwenye maeneo ya viburudisho tusipate kansa ya meno.
 
hakika nimeamini sio wote timamu nahisi kwa akili yako ungeshauri watumie na stilwire ili iwe safi zaid

Mi ni jinias kuliko unavoamini. Laiti Mungu angetaka kila bara liwe na Yesu wake, Tanzania mngebahatika kuwa na Yesu wa Afrika.
 

receive my thousand like
....u say tha truth.like it
 

Naunga mkono hoja hii,la kuzingatia mikono iwe safi Kabla usafi ni muhimu aisee huko kwa bibi.
 
Madaktari wengi wanashauri douching isifanyike lakini katika hali halisi ni ngumu kusafisha bila kidole kufanya kazi ya ziada
 

Naunga mkono hoja hii,la kuzingatia mikono iwe safi Kabla ,usafi ni muhimu aisee huko kwa bibi hili pia linahusika kwa pande zote wanaume kabla ya kupima oil hakikisheni mikono yenu ni misafi osha mikono yako kwa sabuni na maji safi kausha kwa taulo safi kisha nenda kapime oil.
 
Mtoa mada kasema ni medical perspective jamani, mbona mnambishia?
 

Ha ha haaaa, basi sawa!!!!!
 

Hilo nalo neno wapimaji mikono iwe safi...ivi niulize wale wadada walio na mikucha mirefu na rangi juu wanaosheje kwa bibi
 
Hii ya kutoosha chululu siikubali aisee...
 
Mtoa mada kasema ni medical perspective jamani, mbona mnambishia?

Medical perspective inayopingana na guardians na users itapata tabu ku exist!!!!!!!!!!

Hebu twende huko medical.......normal flora wa outes skin mainly ni staph........sasa mikono ikioshwa vizuri na kukaushwa then mtu akajiswafi hiyo contamination inaanzia wapi!!!!!??????

Kwani shaft nayo si ina hao normal flora, upon penetration hivi huwa inakuwa sterilized!!!!???????
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…