Kwanza natanguliza shukrani zangu za dhati kwa Mukulu wetu kutupa hii siku ili tufanye usafi kwenye sehemu zetu za makazi na malazi. Natoa pongezi pia kwa wale wote waliojitoa kwa ihari yao au kutumiwa vimemo jana kuwa waamke kujituma.(Africana area vilikuja vimemo).
Pamoja na shukrani zote naomba madaktari wetu wanisaidie kunipa jibu, je pindua pindua inatoka kwenye taka taka za kwenye mitaro na barabarani na nyasi zisizofyekwa au inatoka vyooni? Kwa ufahamu wangu mdogo najua kuwa pindua hasa inasambazwa na inzi, mikono michafu na maji yenye kinyesi chenye vimelea vya pinduka pinduka.
Mitaro tuliyosafisha leo bila gloves, taka tulizochoma na zina plastics ambazo ni sumu kwenye miili yetu, wengine mitaro ilikuwa na maji ambayo yanatapishwa toka vyooni je si tunaweza tusipate pinduka lakini tukaathirika kwenye mapafu na kupata minyoo??
Mpango huu uliandaliwa mapema almost two weeks ago, kwanini vyombo vya habari hasa radio na tv zisihamasishe wananchi kuandaa zana za kujikinga na vile vile kuwaeleza kuwa wasichome plastics bali wazijaze kwenye viroba ili machinga wanaoziuza wazipitie bila malipo?? Marambo nayo yangekusanywa ili yapelekwe kuchomewa kwenye sehemu ambayo yasingeaffect afya za watu wanaozunguka mahala yalipochomewa? Elimu, elimu elimu ndiyo tulikosa leo ili tuweze kulimaliza hili la leo salama.
Don't take me wrong, nia ya brother mapadlock ilikuwa na ni na itabaki kuwa bye lakini maandalizi na utekelezaji hautamaliza kipindu pindu. Je mabomba yanayopita kwenye maji machafu yamehamishwa leo? Je vyoo visivyofunikwa vimekaguliwa kuwekewa mifuniko? Je baada ya kazi watu walinawa na maji ya moto na sabuni kuepuka kujimbukiza na kuambukizana pindua? Huu ni ugonjwa unaotokana na kinyesi siyo nyasi wala chupa!
Nawasilisha.