Mi mwenyewe wa kaskazini ngoma droo sasa tuoneHapana mi wa kaskazini
Kweli tena chaliangu.acha kuleta maniaje hapa bongo bhana.wew ni wa home ileile mzeiyaHahah
Acha basi kuzingua arifuu!
Nitakutia beto aisee chaliangu!
nyie ndiyo mnakubali kukosolewaTatizo lenu hamtaki kukosolewa.... Kiumbe cha kike matatizo