Mamaaaa joshydama,kuna shida kwani babaSitaki tena maana hiyo kiongozi vipi?
Kwani najua kusoma na kuandika tu?
Sema uzuri wake ilikuwa ni mpya
Usafi hata kwa sisi wanaume ni muhimu sio unaenda kwa mwanamke unanukia ubeberu!
Nafikiri hata wao hawapendi!
So Suala la usafi ni muhimu kwa wote jombaaaa
Sina uhakika na ukimya wakoHapana mimi ni mkimya na mpole sana hivyo comedy hainifai!
Ohoooo...nilikuwa najuliza maswali kibao.uko kwenyewe kuna hali ya ukakasi ukatie limao tena si unaeza toka bomu la machozi.chaa!!Uongo bhna. Who will dare doing such evil things
aise arifu we ni nuomaKwani haujui sifa za viongozi?
•kusoma na,
•kuandika
Weweeeeee basiiii achaaaa.kumbe ndo upumbavu alikuwa akifanya...mimi sikuweza jamni kuangalia uwiiiiiiii niliomba mtu aangalie then anisimulie...mwili wote umeanza kunisisimka mamaaaaaaaa.Yap!
Mwaka jana kuna clip moja niliangalia ya mdada mmoja ambae alikuwa anatumia asali akidai kwamba mashine itakuwa tamu mwisho wa siku palioza na kuweka wadudu fulani hivi weupe!
Hongera kama kweli.ila nyie watu wakimya ni wabaya ni kinyama.ni katika harakati za kutafakari tuSure!
Najua huwezi amini ila ndiyo hivyo!
Hatari sana!Weweeeeee basiiii achaaaa.kumbe ndo upumbavu alikuwa akifanya...mimi sikuweza jamni kuangalia uwiiiiiiii niliomba mtu aangalie then anisimulie...mwili wote umeanza kunisisimka mamaaaaaaaa.
Kweli huwezi mridhisha mwanaume hasilani.bora ubaki hivyo hivyo...aise bora usingenikumbusha kabisa
Kumbe na wewe unawapendaga ee.aise nikimuona mwanamke anashort hair uwiii huwa ninamfurahiaga sana.awe black kiasi,anavaa nguo za heshima no hiyo sijui mishedo si jui mi mimake up.siishi hamu kumwangaliaHatari sana!
Kuwa natural tu inatosha...kama wadada wa kisabato!
Hawanaga mambo mengi
Vitu asilia vitamu sana!Kumbe na wewe unawapendaga ee.aise nikimuona mwanamke anashort hair uwiii huwa ninamfurahiaga sana.awe black kiasi,anavaa nguo za heshima no hiyo sijui mishedo si jui mi mimake up.siishi hamu kumwangalia
Tatizo lenu hamtaki kukosolewa.... Kiumbe cha kike matatizoEti usafi kwa mwanamke huongeza hamu ya tendo la ndoa
Kwahiyo mwanaume akiwa mchafu ni sahihi
Mnavyonuka pumbu, midomo, kwapa kuna nyasi ukisukaa miraba saba inasukika.... Mada yko hainya nyooka.......