kule bedroom hakuna mtu maalum wa kusafisha jamani kati ya mke au mume, mimi kuna siku nikiamka weekend napiga usafi wa maana including kushusha neti,mapazia na kuyaloweka wife akija anamalizia tu, kusogeza kitanda makabati mabegi kukung'uta vumbi na kupanda,wife kama alikuwa kazini akija anakuta suprise, hawa wanawake tusiwaonee hivi jamani, wanaume tumekuwa kama vilema siku hizi ikifika weekend ni bia na totoz tu,ndoa ni upendo so kama kweli unampenda mkeo utamsaidia tu,