double R
JF-Expert Member
- Oct 6, 2011
- 2,402
- 2,547
Watu wa Arusha inaonekana hawajazoea Arusha kuitwa jiji. Naona hapa wanajipima kuipita Moshi wakati washindani wao kwa mambo ya usafi ni majiji. Inawezekana kabisa Moshi unaweza kuwa bora kupita manispaa na majiji yote lakini Arusha hata kwa majiji bado.