USA: "We know"

BAK

JF-Expert Member
Feb 11, 2007
101,999
2,000
Intel report says US identifies go-betweens who gave emails to WikiLeaks
By Evan Perez, Jim Sciutto and Pamela Brown, CNN

Updated 8:05 PM ET, Thu January 5, 2017
  • JUST WATCHED
    Officials: Hackers aggressively targeting US

Story highlights
  • WikiLeaks founder Julian Assange has denied that Russia was the source of leaked Democratic emails
  • The emails roiled the 2016 campaign to the detriment of Democratic nominee Hillary Clinton

Washington (CNN)US intelligence has identified the go-betweens the Russians used to provide stolen emails to WikiLeaks, according to US officials familiar with the classified intelligence report that was presented to President Barack Obama on Thursday.

In a Fox News interview earlier this week, WikiLeaks founder Julian Assange denied that Russia was the source of leaked Democratic emails that roiled the 2016 election to the detriment of President-elect Donald Trump's rival, Democrat Hillary Clinton.
Meanwhile, US intelligence has received new information following the election that gave agencies increased confidence that Russia carried out the hack and did so, in part, to help Trump win.

Included in that new information were intercepted conversations of Russian officials expressing happiness at Trump's win. Another official described some of the messages as congratulatory.
Officials said this was just one of multiple indicators to give them high confidence of both Russian involvement and Russian intentions. Officials reiterated that there is no single intercepted communication that qualifies as a "smoking gun" on Russia's intention to benefit Trump's candidacy or to claim credit for doing so.

Vice President Joe Biden said in an interview with PBS NewsHour that an unclassified version of an intel report provided to him will be released "very shortly" and will "lay out in bold print what" the US knows about the hacking.

"I think it will probably confirm what a lot of the American people think," he said, adding that it would "state clearly" the Russians involvement in the hacking.
In response to the interview, Trump tweeted on Wednesday, "Julian Assange said "a 14 year old could have hacked Podesta" - why was DNC so careless? Also said Russians did not give him the info!"

Trump has been publicly skeptical of Russia's involvement in the hacking, as well as has been publicly deriding the US intelligence community for its unanimous conclusion that Russia hacked Democratic Party groups and individuals to interfere in the US presidential election.
Officials told CNN there's been a disconnect between Trump's remarks about the intelligence community and his behind-the-scenes behavior when he's present at private intel briefings.
CNN's Daniella Diaz contributed to this report.
 

Attachments

BAK

JF-Expert Member
Feb 11, 2007
101,999
2,000
Hilo linaeleweka Dr anakabidhiwa nchi in 15 days, lakini Senate ambayo majority members ni wa chama cha Trump hawakufurahia kuona Democracy yao inachezewa, hivyo pamoja na kuwa mtu wao kashinda bado wanataka kumtia adabu zaidi Putin ili asirudie tena alichokifanya katika chaguzi za usoni au nchi nyingine yoyote ile kusema, "Kama Russia walihack na US hawakufanya kitu we too can do the same." Hivyo mbali ya vikwazo vya kiuchumi vya Obama kuna uwezekano mkubwa Senate nao wakaja na vikwazo zaidi vya kiuchumi dhidi ta Russia.

BAK huko mbona Trump keshashinda? Ngoja apewe nchi hayo ya Russia ni figisu
 

mwekundu

JF-Expert Member
Mar 4, 2013
21,757
2,000
Hii cyber warfare inategemea tu technological capability ma ambition ya wahusika anyone anaweza kuhackiwa
 

BAK

JF-Expert Member
Feb 11, 2007
101,999
2,000
Sasa kama ni hivyo huyo mteule mbona anaanza kuback off kwenye kauli zake!? Si aendelee kutoa kauli fyongo tu halafu tuone atakavyoiongoza nchi bila masenators wa Chama chake kuwa naye kwenye page moja kwenye masuala mbali mbali ya nchi!?

Kumbuka hakuna azimio la kikwazo chochote dhidi ya Russia kitakachopitishwa bila ya Rais aliyeko madarakani kutia saini..senate wakifanya maamuz lazma yapelekwe white house ili raisi asain na kutoa Go ahead.
we unazani trump atasain huo ujinga???

Kina Obama wanajua itakuwa ngumu Trump akiingia ndo mana wafanya fasta kabla ya Jan 20.

Halafu jambo lingine la kujua ni kwamba kama Marais(viongoz) wa nchi mbili wanapatana... hakuna namna Mtu au kiongozi mwingine anaweza kuwagombanisha na hakuna lolote viwe vikwazo au vita inaweza kutokea, labda waamue wenyewe au yafanyike mapinduzi kama Ukraine.

Kumbuka taarifa zote za kijasusi na kiusalama, vikwazo vya kiuchumi, au maazimio ya vita haviwezi kutekelezwa bila raisi kutia saini haijalishi senate wataamua nini...na hapa ndipo kina Obama wanajua itakuwa ngumu kumbana Putin........
 

Koba

JF-Expert Member
Jul 3, 2007
6,139
1,500
Kumbuka hakuna azimio la kikwazo chochote dhidi ya Russia kitakachopitishwa bila ya Rais aliyeko madarakani kutia saini..senate wakifanya maamuz lazma yapelekwe white house ili raisi asain na kutoa Go ahead.
we unazani trump atasain huo ujinga???

Kina Obama wanajua itakuwa ngumu Trump akiingia ndo mana wafanya fasta kabla ya Jan 20.

Halafu jambo lingine la kujua ni kwamba kama Marais(viongoz) wa nchi mbili wanapatana... hakuna namna Mtu au kiongozi mwingine anaweza kuwagombanisha na hakuna lolote viwe vikwazo au vita inaweza kutokea, labda waamue wenyewe au yafanyike mapinduzi kama Ukraine.

Kumbuka taarifa zote za kijasusi na kiusalama, vikwazo vya kiuchumi, au maazimio ya vita haviwezi kutekelezwa bila raisi kutia saini haijalishi senate wataamua nini...na hapa ndipo kina Obama wanajua itakuwa ngumu kumbana Putin........
Hujui wewe, senate ikipitisha azimio lolote for 67 votes lazima President asaini
 

kui

JF-Expert Member
Mar 2, 2009
6,469
2,000
Will be out soon..

"WASHINGTON — The U.S. intelligence community will release a public report next week detailing Russia's attempt to use cyberattacks to influence the U.S. presidential election, Director of National Intelligence James Clapper told a Senate panel Thursday.

Clapper told the Senate Armed Services Committee that a comprehensive report ordered by President Obama on Russian hacking will be ready next week, including an unclassified version that the public will be able to review. He said lawmakers will receive closed-door briefings on the classified portions of the report..(USA Today)
 
  • Thanks
Reactions: BAK

Jay One

JF-Expert Member
Nov 12, 2010
14,017
2,000
Trump, must be extra careful with his habits, of demeaning and belittling top INTELLIGENCE OFFICIALS and Reports..

He must change his childish, babish, pooh-pooh talks ASAP..!!
 

Elungata

JF-Expert Member
Jan 28, 2011
35,861
2,000
Hiyo mbona iko wazi?
Wiki tatu kabla ya uchaguzi Russia walisema wazi wana email za siri za hilary clinton na kwamba walikuwa bado wanajiuliza iwapo wazileak ama la,
siku mbili kabla ya uchaguzi wikileak wakazitoa.maji yashamwagika akiapishwa tu Trump mchezo umeisha na hao ma directer wa CIA,NSA ,homeland security watarudi kuwa mawatchem wa maduka hapo manhatan
 

Baazigar

JF-Expert Member
Aug 30, 2015
1,129
2,000
Hahaha....kuna watu roho inawauma sana kwa alichokifanya Urusi kwa Marekani...mkubwa akishikishwa adabu anaumia sana..
 

Consigliere

JF-Expert Member
Sep 9, 2010
11,303
2,000
Sasa Huyo Hillary alitumwa na Nani kuweka hizo emails kwenye private servers?
Na kama hizo email hazikua na mafhara kwa wamarekani kwa nini zilimsababishia kushindwa?
Mimi naona hawa jamaa wanazidi kutafita face saving reasons tu, lakini wanatambua fika wanayoyaongea ni matokeo amnayo yamesababishwa na tatizo kubwa ambalo ni wao wenyewe
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar threads

Top Bottom