Mavindozii
JF-Expert Member
- Oct 20, 2012
- 2,110
- 2,786
Kwa muendekezo wa hivi vita asilimia kubwa ya wataalamu wa hizo mazana matukufu ni Watakatifu Wamerekani wanaobonyeza.
Remote control kwenye mazana yao ya high technology. Baada ya UKRAINE kupata mafanikio makubwa imewapa Mori kubwa USA wazidi kuwaamini, hawa sio wale washenzi wavaa kubasi wa Afghanistan. Hivi vita vitachukua miaka zaidi ya 20.
Russia anapigana vita viwili Moja ya kuwekewa vikwazo vya uchumi na Moja ya kupigana na Ukraine achana na vita vya kuwekewa vikwazo. Utauza nini Ili ujenge uchumi wako.
Kuna saa itafika Russia ataishiwa SILAHA. Na pesa vile vile mbaya zaidi Hamna mzunguko wa hela. Hivi akipelekeshwa miaka miaka mitano itakuaje. MK 254 na Mtarimbo naombeni mje kujaza minofu please.