USA vs Russia Politics

USA vs Russia Politics

MAKA Jr

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2016
Posts
267
Reaction score
209
"Very unfortunate Donald Trump and Vladimir Putin call themselves friends. We all know one of them should be bigger than another. It is just a matter of time"
 
Hakuna urafiki hapo

Subiri trump aje askie maslahi ya USA na russia ndo timbwili litaanzia apo
 
Kwanza tunaambiwa 85% anaowateua wote ni wazungu na wanawake ndio anawatupa mbali sana.
 
Kwanza tunaambiwa 85% anaowateua wote ni wazungu na wanawake ndio anawatupa mbali sana.

Mkuu tusubiri kwanza, Trump knows what's doing alafu ni a truelly independent person si rahisi kupelekeshwa au kudanganywa na ma neocon na wapenda vita, anajua hulka zao vizuri sana, tabia zao ni kujenga au kubuni uadui (Uchina na Urusi) au kuchochea vita ili wapate kisingizio cha kufuja fedha za walipa kodi kwa kujingiza kwenye ushindani usio wa lazima wa kuhunda silaha nk.

Trump awezi kurudia makosa ya Obama ya kuleta tension za kijinga baina ya Urusi na Merikani, atashirikiana vizuri tu na Urusi kwa kuwa treat as equal na siyo kutaka kuwa order around. Obama na Angela walikuwa wanafiki sana - Juzi juzi hapa ndiyo nimemsikia Obama akikiri kwamba Urusi ni Super Power kijeshi, lugha yake ya kejeli ya siku za nyuma kuhusu Urusi imebadirika kabisa at the eleventh hour - asemi tena kwamba kwamba Urusi is just a Regional Power!!!

Mataifa yote ya Ulaya yaliyo kuwa yanamu hujumu Putin kwa kunag'ang'ania kuiwekea vikwazo vya kiuchumi Urusi kutokana na shinikizo la Merikani, basi viongozi wake watashindwa chaguzi zijazo kama alivyo shindwa Hillary.

Viongozi kama Angela Merkel na Hollande awatarudi tena madarakani baada ya chaguzi nchini mwao, badala yake watawaacha Putin na Trump wanadunda.
 
Back
Top Bottom