USA vs China Aircraft carrier

Marekani hajawahi kupigana vita na taifa kubwa tofauti na japan kwahiyo hakuna kipimo Cha usupa power, Nchi pekee iliyopimwa Kwa nguvu za kijeshi na teknolijia ni Urusi ambaye amesimama mbele ya NATO. hayo ma meli ni mazuri kumtishia mwarabu. Kule bahari ya china hapawezi , wachina wanakuja juu Kwa kasi ya ajabu.
Kikubwa hayo mameli yanatumika zaidi Kwa vita vya mbali kwaajili ya usafiri wa ndege vita
 
Urusi huyu huyu alikana kuhusika na bomu liliotua Poland ?
 
Imepunguzwa au haina

Maana huko beto alipoenda United Shits Of Americant na hizo ngarawa zake alipigana nanani

Maana tumeona pale houthi tu kaunda muungano halafu kakimbia zake

Hizo ngarawa zingezamishwa kama vidagaa ila kastuka
Dadeki. Apeleke Afghanistan, Syria na Iraq alikoshinda vita🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Kabisaaa Russia kaprove ila us kwa mpaka sasa hana maajabu
Yaani upigane na Russia upeleke hako kamtumbwi hakapigwi wakati kanaelekea Russia kanafatwa huko huko marekani kana nyooshwa
Hivyo vimtumbwi labda vikapigane na somalia hapa sawa
 
mwaka wa Pili huu , Urusi kaishiwa wap huko Ukraine ? sasa hv hadi viongoz wa Ulaya wanaingia na kutoka Ukraine , je haeza watungua ?
 
Siku ya mwaka mpya US Navy iliua wanamgambo wa Houthi 10 wakiwa kwenye viboti vyao

Meli za US zimekuwa zikifanya interceptions kadhaa za missiles na suicide drones, najua unajua ila inakuuma kukubali. Houthi hawana level za kupelekewa carrier, hao ni watoto unless US iwe inataka kuwafuata kuwashambulia
 
Kwa enzi hizo Japan alikuwa anatwala Asia ya mashariki yote je unahisi alikuwa mshindan wa kawaida ? Urusi hajapigana na NATO anapigana na Ukraine , Irana anawasaidia Hamas , hii haimaanish Israel wanaipiga Iran bali wanawapiga Hamas
 
kipind cha sakata la Taiwan , si lilisogezwa mchina akakaa kimya , kwann akuendelea kelele zake
China hajawahi kuacha kelele kule hizo porojo zako tu

Uchina kabeba maeneo ya bahari ya kila jirani yake kule baharini na hakuna meli ya Americant ilomfanya lolote lile

Sasa Americant c aondoe hizo ngarawa zake maana zimeshindwa kumlinda hata mshirika wake Philippines [emoji1198]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…