Bongolander
JF-Expert Member
- Jul 10, 2007
- 5,067
- 2,226
Mdharau mwiba...........Usiwaunderestmate wairani. Wairan wanaongoza kwa Sayansi ya nuclear. Wewe unafikiri wangekuwa hohe hahe America ingekosa usingizi kwa ajili yao? Nilishakutana na wairan wachache wapo vere vere intelligent.
That will never happen,America is a super powerNa pia Iran hatarusha makombora Saudia tu, atayapeleka hadi Marekani na ni kitu ambacho US atakihofia zaidi
Utawachukiaje ambao hawakujui wala hujawai fika marekani.we endelea kula maandazi na vitumbua hapo kwa mtogole.sisi tulioko new York tunakula bata tu huku.Iran,wakapige pale Newyork kabisa. Siwapendi Marekani.
Wale wa Persian wana akili kama mchwa. Tena kwenye Sayansi ya Nuclear na atoms usiwachezee kabisa. Trump mwenyewe kasanda alitanganza kwa mbwembwe kuwa watakiona cha moto. Mbona sasa kabadili uamuzi kuwa hatafanya chochote kuwa ilikuwa bahati mbaya. Iran wamemjibu haikuwa bahati mbaya. Iran is not Iraq,not Afghanistan.Unajua kuna baadhi ya watu wanafikiri Iran ni waarabu. Lakini Trump amekuwa na akili sana baada ya Intel kumwambia Irana wana macho ya kuona stealth planes, ingekuwa aibu sana kwenye utawala wake kuambiwa kuwa ndege stealth zimetunguliwa na Iran.
Sipendi ubabe wao wa kupiga wanyonge. Ona walichofanya Iraq,Afghanistan.Utawachukiaje ambao hawakujui wala hujawai fika marekani.we endelea kula maandazi na vitumbua hapo kwa mtogole.sisi tulioko new York tunakula bata tu huku.
Kwa mtogole???Jifariji.Utawachukiaje ambao hawakujui wala hujawai fika marekani.we endelea kula maandazi na vitumbua hapo kwa mtogole.sisi tulioko new York tunakula bata tu huku.
Hahaha aisee hivi ushakutana na Wamarekani wenye akili ?Mdharau mwiba...........Usiwaunderestmate wairani. Wairan wanaongoza kwa Sayansi ya nuclear. Wewe unafikiri wangekuwa hohe hahe America ingekosa usingizi kwa ajili yao? Nilishakutana na wairan wachache wapo vere vere intelligent.
AiseeeeeUtawachukiaje ambao hawakujui wala hujawai fika marekani.we endelea kula maandazi na vitumbua hapo kwa mtogole.sisi tulioko new York tunakula bata tu huku.
Marekani sidhani kama ataingia kwenye vita na Iran hizo zitakua mbwembwe tu ila anajua uwezo wa kijeshi wa Iran kwamba sio wa kubezwa. Nadhani pia atafikiria kuhusu kuyumba kiuchumi akiwa vitani wakati huo mshindani wake kiuchumi China atakua anazidi kupepea wakati yeye anapigana vita.
wayatest tu. maana hamna namna. North Korea alitest baharini, huyu ngoja atest kwenye uhalisia wenyeweWinter is coming,..
Ni wakati wa Iran kutest makombora ya nyuklia katika ardhi ya Saudia.
Kwani ye mmarekani hana hayo makombora na zaidi ya hayoNa pia Iran hatarusha makombora Saudia tu, atayapeleka hadi Marekani na ni kitu ambacho US atakihofia zaidi
Unatarajia USA atampapasapapasa na vibom vya kuteleza?! Atamtandika mpaka dunia imuombee poh!Na pia Iran hatarusha makombora Saudia tu, atayapeleka hadi Marekani na ni kitu ambacho US atakihofia zaidi
Watu wanamchukulia USA easy sana hicho ndicho kinachonishangazaUnatarajia USA atampapasapapasa na vibom vya kuteleza?! Atamtandika mpaka dunia imuombee poh!
Shock and owe! Ndicho kinafuata.
Japan alivyoonyesha ukichwa ngumu kwenye vita wamarekani walimtandika Atomic Bom.Watu wanamchukulia USA easy sana hicho ndicho kinachonishangaza
Kwa taarifa yako Marekani huwa hapigi mahali ambapo jamaa wana uwezo wa kurudishia!!!!!! Ndege yao ya kijeshi isiyo na ruban " US Navy MQ-4C Triton drone" waliyoituma kufanya ujasusi juu ya Iran "haikurudi"!!!!! Na hii ni vresion mpya kabisa yenye dhana za kujificha isionekane na dhana za kijilinda isidunguliwe lakini saa hii imebaki majivu!!!!! Mtasubiri sana Marekani kujitutumua kwa Iran!!!!! Aendelee kumwonea Mchina kwa kukatisha kwenye bahari ya china na mimeli yake!!!! Wairan hawajui kubeep!!!! wao ni kupiga tu ukujichanganya kwenye anga zao!!!!! Tukio hili limemwogopesha sana Marekani!!!!! Hakutegemea kama Iran wangethubutu kufanya waliyofanya!!!!!!bado tu marekani hajaanza kupiga?
Usishangae!!!!! Taliban pia wamempa kichapo mpaka saa hii anaomba poooo na kugharimia mazungumzo ya amani na Taliban!!!Watu wanamchukulia USA easy sana hicho ndicho kinachonishangaza
Marekani anavumilia aman ya dunia isitowekeUsishangae!!!!! Taliban pia wamempa kichapo mpaka saa hii anaomba poooo na kugharimia mazungumzo ya amani na Taliban!!!