USA kakimbia baada ya kupewa Warning na Iran

USA kakimbia baada ya kupewa Warning na Iran

Adiosamigo

JF-Expert Member
Joined
Oct 2, 2013
Posts
10,838
Reaction score
14,479
Kelele za Trump oh dunia itaona majabu katika hi week kweli tumeona kweli, bada ya Iran kumwambia tunafanya exercise carries zote zipelekwe 500 Miles ama kama zitabaki zita tandikwa hatutanii ikabidi USA wakimbie.
 
Kama kweli amekimbia basi na sisi jeshi letu lipelekwe Irani likanolewe ili liwe imara.
 
Walipuane kidogo dunia ichangamke.
We hivi akilini kwako US anahitaji carries zitoke USA wakati ana base Jordan, Qatar, Saud Arabia, Turkey, UAE kila kona ya dunia unajua Trump kwanza alisema nini Iran asipo wacha kutengeneza Hypersonic missiles na drones na kuwauwa wandamaji tutaivamia Iran katika hi week, leo anasema sisi target yetu Iran asiwe na Nuclear hahaha. Huyo kisha gundua kitu Iran wako serious hawacheki na kima. Leo kakimbiza carries zake 500 miles kambiwa aondoe carries zake ziwe masafa ya 500 miles ama sivyo tunazitandika.
 
Trump ana wakati mgumu sana, maana so far ana machaguo mawili, chaguo la kwanza ni kuishambulia Iran, then USA military bases zote hapo middle east zitiwe kibiriti bila kusahau Tel Aviv igeuzwe kifusi, maana Ayatollah wala hajapindisha maneno, amesema shambulio lolote kutoka USA kifurushi chake cha majibu lazima kihusushe Tel Aviv kuungua.

Chaguo la pili ni kurudisha machumachuma yake yalipotoka, kusitisha mipango ya kuishambulia Iran. Hii itakuwa ni aibu kubwa sana.
 
vita huwa ina calculation zikigoma lazima urudi nyuma!, marekani huwa hataki hasara ukute ameshaona hasara anaweza akapigana na iran miaka nenda rudi wakati yeye anahitaji vita simple apige amalize!.
Hii marekani ikiona mafuta sehemu tu inatoka udenda!
 
Mpuuzeni mleta habari ni mwongo. Hakuna fleet ya USA iliyorudi nyuma eti kwa tishio la Iran. Iran inabembeleza mazungumzo yafanyike.

Habari za karibuni kabisa, ni kwamva USA imejiandaa kikamilifu kuupiga utawala wa Ayatollah. Kikubwa inachofanya ni kuangalia options za kuwapiga watawala bila kuleta maafa kwa wananchi.
Habari ya karibuni zaidi soma hapa:

DUBAI, Jan 29 (Reuters) - U.S. President Donald Trump is weighing options against Iran that include targeted strikes on security forces and leaders to inspire protesters, multiple sources said, even as Israeli and Arab officials said air power alone would not topple the clerical rulers.
Two U.S. sources familiar with the discussions said Trump wanted to create conditions for "regime change" after a crackdown crushed a nationwide protest movement earlier this month, killing thousands of people.

To do so, he was looking at options to hit commanders and institutions Washington holds responsible for the violence, to give protesters the confidence that they could overrun government and security buildings, they said.
One of the U.S. sources said the options being discussed by Trump's aides also included a much larger strike intended to have lasting impact, possibly against the ballistic missiles that can reach U.S. allies in the Middle East or its nuclear enrichment programmes.

At 86, Khamenei has retreated from daily governance, reduced public appearances and is believed to be residing in secure locations after Israeli strikes last year decimated many of Iran’s senior military leaders, regional officials said.
Day-to-day management has shifted to figures aligned with the Islamic Revolutionary Guard Corps (IRGC), including senior adviser Ali Larijani, they said. The powerful Guards dominate Iran's security network and big parts of the economy.
 
Trump ana wakati mgumu sana, maana so far ana machaguo mawili, chaguo la kwanza ni kuishambulia Iran, then USA military bases zote hapo middle east zitiwe kibiriti bila kusahau Tel Aviv igeuzwe kifusi, maana Ayatollah wala hajapindisha maneno, amesema shambulio lolote kutoka USA kifurushi chake cha majibu lazima kihusushe Tel Aviv kuungua.

Chaguo la pili ni kurudisha machumachuma yake yalipotoka, kusitisha mipango ya kuishambulia Iran. Hii itakuwa ni aibu kubwa sana.
Subiri tuone
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom