Halafu wengine wako humu kuisemasema Marekani huku mjomba wake anaifaidi Marekani...yaani Waswahili hawana shukhrani kweli kweli! Si Mchina, Mrusi, Muirani...wote wakipata matatizo refuge yao wanakokimbilia ni MarekaniUSA baby [emoji631] [emoji631] [emoji631] [emoji631]
Hao hao wanaoiponda ndo hao hao wanaoifuatilia kwa ukaribu.Halafu wengine wako humu kuisemasema Marekani huku mjomba wake anaifaidi Marekani...yaani Waswahili hawana shukhrani kweli kweli!
Watanzania wa kila jinsia, rangi, dini, kabila, shule na maumbile wako Marekani na wengine wamechukua na uraia kabisa!Kwani inchi ya malaika muzee wa kawanja wananchi wake pia ni wamchanganyiko wapo wanyamwezi wamasai warudi
Ndiyo maana nashangaa wanapotokea watu wanajaribu kuilinganisha Marekani na tu-inchi kama China, Urusi na Kusadikika. Marekani ina haki kabisa ya kuitwa polisi wa dunia kwa sababu dunia nzima iko Marekani. Ukifika Marekani umeiona dunia nzima na huna tena haja ya kujua Mrusi anafananaje, Msukuma anaongeaje, Mhindu anaabudujee, Mzulu yukoje, Mwarabu anavaaje, Mchina anakulaje...hapana, umewaona wote.Marekani, nchi iliyo na mwakilishi wa kila kabila hapa duniani ambae ni raia halali kabisa wa hii nchi! I love this country!
Bila shaka hujui kwamba huyo unayemwita Mmarekani anaweza kuwa babu yako, bibi yako, babako mdogo/mkubwa, mamako mdogo/mkubwa, kakako, dadako, mwanao wa kufikia au hata shemeji yako. Ni elimu ndogo tu inakusumbua ndugu yangu...tembea ujionee ujifunze.Mnafurahishs humu....hivi kwa mema yapi anayofanya mmarekani .... kuua watu wengi, kuua uchumi wa nchi nyingine na mwishowe kukaribisha baadhi ya watu na kuwapa kazi za kitumwa watu.....msishabikie nchi ambayo uchumi wake unaendeshwa kwa kuuza silaha na kuanzisha vita kila mahala....
Sijui lini waafrika tutaelimika.....
Siwachukii hawa jamaa kama unavyodhani, mengi mazuri wanayafanya.....lakini angalia namba ya watu wanaokufa....msikae nyuma ya keyboards mkadhani tuko salama....subirini wanayoyataka wao yasipatikane.......Bila shaka hujui kwamba huyo unayemwita Mmarekani anaweza kuwa babu yako, bibi yako, babako mdogo/mkubwa, mamako mdogo/mkubwa, kakako, dadako, mwanao wa kufikia au hata shemeji yako. Ni elimu ndogo tu inakusumbua ndugu yangu...tembea ujionee ujifunze.
Hapo ulipokaa hata siku moja huwezi kuelimika na ndio maana tulifundishwa ukioga mtoni, huwezi kukauka mpaka utoke kwenye maji. Toka hapo ulipo uelimike uondokane na ujinga. Je unajua ni watu wangapi duniani wanaomba kuruhusiwa kuingia Marekani kila siku?Sijui lini waafrika tutaelimika.....
Unayoyasema kama ni sahihi, nani anayewalazimisha kutafuta kwa udi na uvumba uwezekano wa kwenda Marekani? Hata wanafiki wanaoisema vibaya Marekani, wakiambiwa kuna nafasi ya masomo au fursa nyinginezo, wachague kwenda Marekani au Burundi, jibu linajulikana.Mnafurahishs humu....hivi kwa mema yapi anayofanya mmarekani .... kuua watu wengi, kuua uchumi wa nchi nyingine na mwishowe kukaribisha baadhi ya watu na kuwapa kazi za kitumwa watu.....msishabikie nchi ambayo uchumi wake unaendeshwa kwa kuuza silaha na kuanzisha vita kila mahala....
Uliishi state gani na count gani USA na ulisomea nini na baadaye ulifanya nini? Kama hujafika huko utasema mengi ya kulishwa kama mnavyosifia uchina na n. korea kwa kuangalia magazeti ya picha ya kichina. Huwezi ishi US kama hujui kujituma na kufanya kazi. Mmezoea likizo za mwezi wenzio mwaka mzima wana only 2 weeks. Kulipa kodi lazima na ndiyo maana ukiingia kihalali unakitambulisho ambacho kitakukamata usipolipa kodi. Hata kama unauza maji utalipa kodi na ndiyo siri ya nchi kuwa tajiri. Watu wavivu hasa waTz hawawezi mdu kasi ya kule.Sijui lini waafrika tutaelimika.....
Idadi ya wahamiaji kutoka Afrika Mashariki peke yake inafikia 500,000! Hawa ni watu ambao hata ukiwashawishi namna gani hawako tayari kurudi kwenye umasikini huu kama wa kwetu (umasikini wa kujitakia)Uliishi state gani na count gani USA na ulisomea nini na baadaye ulifanya nini? Kama hujafika huko utasema mengi ya kulishwa kama mnavyosifia uchina na n. korea kwa kuangalia magazeti ya picha ya kichina. Huwezi ishi US kama hujui kujituma na kufanya kazi. Mmezoea likizo za mwezi wenzio mwaka mzima wana only 2 weeks. Kulipa kodi lazima na ndiyo maana ukiingia kihalali unakitambulisho ambacho kitakukamata usipolipa kodi. Hata kama unauza maji utalipa kodi na ndiyo siri ya nchi kuwa tajiri. Watu wavivu hasa waTz hawawezi mdu kasi ya kule.