Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 98,514
- 146,037
- Thread starter
-
- #41
Naitafuta Cleveland kwenda kumcheck KingJames kwenye parade ya Cavs
Ndio hivyo, onyesha tu banda lakoKwa nini?
Ndio hivyo, onyesha tu banda lako
Sio Bongo mkuu ukifika gengeni tu ukiuliza Sky Eclat anaishi wapi, mtoto wa miaka mitano anakupeleka.Ndio hivyo, onyesha tu banda lako
Hili ni kama alilochezea filamu Ice Cube inaitwa Last Friday 2
Nikiwa kwenye rally ya Cavs nilibahatika kupiga hizi picha
I see you were very upclose hommie!