Kama kawaida yako myahudi mweusi kutoka pongwe kioke.
Ufikiri wako unaanzia na Israel unaishia na USA.
Na katikati ya hayo mawili kuna chuki za kidini.
Kuchukia uislamu na waislamu kwa ujumla
Aibu kuwa na akili kama zako.
Nataka nione mwisho wake, USA kaweza kuwapiga warusi sactions za nguvu, sasa hivi Russians can't use European banks for transaction na biashara nyingi na Europe zimeyumba, nione kama the most powerful nation in Europe nayo itafyata mkia?
Hahahahuyu jamaa mbona haji afrika kutunyoosha
Yes ukiangalia hapa utajua kwanini ulaya wataufyataNataka nione mwisho wake, USA kaweza kuwapiga warusi sactions za nguvu, sasa hivi Russians can't use European banks for transaction na biashara nyingi na Europe zimeyumba, nione kama the most powerful nation in Europe nayo itafyata mkia?
Kwahiyo sasa siyo, wanaume?Poleni Sana timu Us...nyie mnasikiliza habar za CNN tu na FOX news...China na Urussi na wanaume wajao wa dunia....
Kuna.watu wanafumba machoWaamini ama wasiamini ukweli unabaki pale pale kwamba US kwa sasa hivi ndio Champion dunia
HahahahahaSasa ivi Dubai na Saudi Arabia wanauza nguruwe kama kawaida.
Trumpet kaishika dunia sehemu za siri na hatuna jinsi. Juzi alizichimba nchi za Africa kuhusu mitumba zimefyata
Bado muda mfupi au ndioa ataporomoka.Hapa ni kuazaliwa mataifa yenye nguvu yeye aporomokeUbabe ubabe sasa hivi...
-Washington imetishia kuwa wababe hao wasipoacha mradi huo wa kujenga bomba la gesi kutoka urusi kwenda ujerumani itawaadhibu wahusika wote kwa vikwazo.
-Pamoja na sababu nyingine Washington wanahofu urusi wanaweza kuweka vifaa vya kiintellijensia katika bahari ya baltic ambapo bomba hilo linapaswa kupita.
-Mradi huo unaitwa Nord Stream 2. Na baadhi ya sababu ni kuwa US inataka Ulaya inunue gesi yake ambayo ni ghali kuliko ile ya Urusi ambayo ni bei ya chini. Mkwara kama huo China pia ilipigwa kwa kuambiwa wanapaswa kununua Gesi (LNG) ya Marekani ili wasiongezewe zaidi Ushuru kwa Bidhaa zake zinazoingia US.
Source:
US threatens to punish Russia & Germany if they continue playing with gas
US friendly suggestion to China: Buy more American gas if you don't want more tariffs
My Take: Nadhani bado muda mfupi US awe official King of the World.
Exactly, total lamerz. They agree to buy more US gas at non competitive rates and then in a year's time US will reneg and reimpose the SAME tariffs again and demand more concessions from weak EU vassal states. That's the way blackmail works: once you buckle and pay up, you never stop being blackmailed.Asubuhi Leo Kuna taarifa nimeona EU wamekubali kununua gesi zaidi toka US ili waondolewe ule ushuru wa kwenye Aluminum. EU agrees to buy more US gas if Trump scraps tariffs – report
Us amekalia kuti kavu kwa sasa na muda ndio utakaonena na muda ndio rafiki wa kweli.
wee unachekeshanini haswa mahaba?
Mbona mnachafua uzi bila sababu za msingiNiwekee ayat moja Toka Injili inayo Agiza mgala amchukie muislamuwaislamu ndio walio agizwa na Allah kuwachukia wagala na wayahudiView attachment 781123 sawa?
Tutasubiri sanaaaUzuri wa haya mambo yanakwenda kwa historia. Ili uvielewe zaidi inabidi uwe na nyongeza ya vitu viwili, uwe mfuatiliaji wa haya mambo na uwe na ufahamu wenye afya njema. Wala hutohitaji mambo meeengi kujua US anaelekea wapi kwa sasa.
Mmoja anaweza akawa mfuatiliaji mzuri sana, ila akakosa ufahamu wenye afya njema. Ndivyo dunia ilivyo.
Tutasubiri sanaaa
Nimekwambia tutasubiri sanaIla ishara imeshajionesha. Kama ulivyosema tusubiri, ngoja tusubiri.